chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
TBL imebadilika hao Waholanzi sijui Wamarekani ni wabahili tofauti na wale Makaburu. Hawafagilii promo sanaWakuu habari kuna bar moja nafungua na maeneo hapa DSM, sasa kuna namna ya ku save bajeti badala ya kununua viti na meza tukachukua vya TBL
sema naona hawa TBL kama wanazungusha flani hawaeleweki, maana walisema wanatoa baada ya sabasaba ila saba saba ikapita halafu bado hawatoi
sasa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa, ilikuaje wakavipata au bora niachane nao tu?
Au kama kuna anayeuza tunaweza kuongea biashara
Aisee kumbe..TBL imebadilika hao Waholanzi sijui Wamarekani ni wabahili tofauti na wale Makaburu. Hawafagilii promo sana
Yeah wamepunguza promotion, hizo meza na viti ni sehemu ya promotionAisee kumbe..
TAFUTA SALES REP. UONGEE NAO NDIO WAHUSIKAWakuu habari kuna bar moja nafungua na maeneo hapa DSM, sasa kuna namna ya ku save bajeti badala ya kununua viti na meza tukachukua vya TBL
sema naona hawa TBL kama wanazungusha flani hawaeleweki, maana walisema wanatoa baada ya sabasaba ila saba saba ikapita halafu bado hawatoi
sasa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa, ilikuaje wakavipata au bora niachane nao tu?
Au kama kuna anayeuza tunaweza kuongea biashara
Hawaongei ukweli tatizo, wanakuambia tutawaletea subiri, subiri, subiri, subiri...TAFUTA SALES REP. UONGEE NAO NDIO WAHUSIKA
BASI JIONGEZE TU, VIPI KUHUSU SERENGETI JE?Hawaongei ukweli tatizo, wanakuambia tutawaletea subiri, subiri, subiri, subiri...
Hao sijawajaribu badoBASI JIONGEZE TU, VIPI KUHUSU SERENGETI JE?
CHECK NAO NA HATA COCA COLA / PEPSI PIAHao sijawajaribu bado
okCHECK NAO NA HATA COCA COLA / PEPSI PIA
poa mkuuWatakuzungusha sana siku hizi kupata hivo vitu imekua ishu sana baada ya mabadiliko kwenye uongozi wao, tumia plan b kanunue wakati unaendelea kuwafatilia.
Ipo stend mkuu,ila kutuma e mail sina imani sana maAna hazijibiwi, nitajaribu kuwacheki ofisiniTafuta email address za area sales manager na marketing manager wa TBL na SBL watumie kwa pamoja ikionyesha unania ya mmoja Kati ya hao atakaewah utamtumia
Pia tafuta email address za area sales manager na marketing manager wa coca na peps watumie hvyo hvyo
Ndan ya wiki utaona Tata na Benz zinavyoingia hapo kwaspid sema eneo liwe kubwa na location ya kuleta nyomi WENYEWE inshu yao n visibility tuu
Hawaongei ukweli tatizo, wanakuambia tutawaletea subiri, subiri, subiri, subiri...
Ipo stendi ndugu, sehemu nzuri sanaKama bar yako iko sehemu nzuri na imechangamka, umeitengeneza vizuri, wanakuletea wenyewe na friji
Mzee ukituma email,ukawacopy wote watakujibu ndani ya Dakika kumi.Ipo stend mkuu,ila kutuma e mail sina imani sana maAna hazijibiwi, nitajaribu kuwacheki ofisini