Ni Mungu pekee aliye mmoja!!

kwa style hii michepuko kuisha itachukua muda
 
maswali mengine nikutafuta ugomvi tu...
 
duh..''peke yako we Mungu''
 
ni sawa kuulizwa kuwa eti unanipenda?!unatarajia jibu gani hapo kama anayekuuliza ni dear wako!
Nafuu huyu alijiweka wazi,wengi wanacho jibu mdomoni sio wanacho maanisha moyoni.
 
Nafuu huyu alijiweka wazi,wengi wanacho jibu mdomoni sio wanacho maanisha moyoni.
mkuu mimi pia huwa sitoi jibu sahihi kwa hilo swali...huwa najibu kulingana na mood!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…