Ni muhimu Rais mstaafu Kikwete aongezewe Ulinzi

Mara paap Paulo Makonda kawa makamu wa Rais, sijui nitakimbilia wapi mimi [emoji3525]
Haiwezi kufika huko, nchi ikifikia hatua Makonda ni makamu wa Rais itakua ni hatari sana kwa ustawi wa nchi
 
Tukiangalia hali ya siasa ilivyo sasa baada ya kufariki Mh Rais Magufuli, kuna mambo mengi sana ili yawe sawa katika nchi yanahitajika uwepo wa Mh Kikwete.

Moja Kikwete ndie alietuletea Magufuli baada ya Magufuli kuandaliwa na Hayati Mkapa, hivyo Magufuli kuingia madarakani Kikwete anahusika sana pia inawezekana Mh Kikwete alikua na malengo binafsi hadi kuruhusu Magufuli awe Raisi.
Hivyo Mh Kikwete anajua nini cha kufanya kuweka sawa mambo yote.

Pili Mh Kikwete ndie aliemtengenezea njia Mh Samia kuwa kiongozi mkubwa Tanzania nzima baada ya Mh Samia kufanya vizuri katika ngazi mbalimbali kule Zanzibar kabla ajawa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba hadi umakamu wa Raisi.

Hivyo inawezekana Mh Kikwete akawa anawafahamu vizuri wote wawili, yani Hayati Mh Magufuli na mama Samia na anajua ubora na madhaifu yao sababu kwa njia moja au nyingine aliwaandaa yeye.

Tunajua Mh Kikwete ana mapungufu yake, ila likija jambo lenye maslahi mapana ya Taifa ni mtu mmoja makini sana.

Tatu Mh Kikwete hayupo katika makundi yanayotafuta uongozi kwa sasa sababu ya umri pia inawezekana busara zimeongezeka baada ya kuona vifo vya Mh Mkapa na Mh Magufuli, hivyo psychological hana cha kupoteza ila ataangalia maslahi mapana kwa nchi sasa na hata badae

Hivyo ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama vikamuongezea ulinzi Mh Kikwete sababu ndie mtu anaefahamu jambo sahihi la kufanya kwa sasa inawezekana kuliko mtu mwingine yeyote kwa sasa.

Sisemi kwamba mama Samia hana uwezo, ila Mama Samia yupo katikati baada ya uwepo wa makundi yanayoitwa CCM asilia na CCM mamluki kitu ambacho sio sahihi na sio kweli sababu, Katiba ya CCM iko wazi na inatoa fursa kwa wanachama wote.
Unota ww!
 
Upo sahihi, sema Katiba inabana tu.
Mimi ilifikia hatua nikawaza JK awe Rais kwa hiki kipindi tu ili amuandae Raisi Mwingine, hata kama itakua mama Samia huyo huyo.
Pia niliwahi kumuwaza membe, angekuwa hajazingua angebahatika
 
Yupo salama siku zote...
 
definitely

Huu ndio muda wake mzee wa Msoga kumalizia Bilion zake alizozificha kiwingu kimeondoka
 
.
20210321_000925.jpg
20210321_000949.jpg
 
Upo sahihi, sema Katiba inabana tu.
Mimi ilifikia hatua nikawaza JK awe Rais kwa hiki kipindi tu ili amuandae Raisi Mwingine, hata kama itakua mama Samia huyo huyo.
Du, mnataka muingize mchwa uitafune tena hela iliyokusanywa na ngosha afu muwalete tena wachina kuendeleza bandari ya bagamoyo!?
 
Back
Top Bottom