Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,890
- 7,566
- Thread starter
- #21
Gharama za kujenga small satellite launch tunazimudu
Unajenga viwanja vya billion 200+ vya mpira kwa ajili ya afcon alafu mradi wa billion 20 au 30 wa satellite launch pad unaona ni ghali ila afrika aliyetuloga ameshakufaKwanza, inaitwa rocket launch pad sio satellite launch pad kwasababu huwezi ku-launch satellite moja kwa moja kutokea ardhini.
Pili kwa matatizo ya kichumi, kijamii na kisiasa tuliyo nayo kwa sasa, hiyo project haiwezekani.
Tatu, Tanzania haina reputation yoyote ile kwenye hizo teknolojia, hivyo uwezekano wa sisi kufanya hiyo biashara na kufaidika ni almost zero. Kampuni zilizoendelea tayari zinachukua wateja wote.
Nne, gharama ulizoweka hapo sio realistic, unahitaji wataalamu kwanza, tafiti za kutosha pamoja mambo mengine mengi ambayo yanaongeza gharama zaidi.
Tano, sio busara kufanya mradi kama huo kwa nchi ambayo raia wake wengi bado wana maisha duni sana, hiyo pesa ni bora ipelekwe kwenye sekta nyingine muhimu za kijamii kama afya, elimu na ujenzi wa miundombinu mbalimbali ambayo hatuna.
Haupo serious! Umesoma na kuelewa vizuri nilichokiandika?Unajenga viwanja vya billion 200+ vya mpira kwa ajili ya afcon alafu mradi wa billion 20 au 30 wa satellite launch pad unaona ni ghali ila afrika aliyetuloga ameshakufa
For what? Unadhsni 10b inaokotwa? I am not against it but kuna vipaombele vya kusolve kwanzaHii itafungua milango ya kujenga complex rocket launch pad
Gharama ya kujenga satellite launch pad ndogo kwa usd million 10 inatosha ambayo ni sawa kama billion 25 ukiangalia ni mradi ambao tunaumuduHaupo serious! Umesoma na kuelewa vizuri nilichokiandika?
kiwanja cha arusha kimegharimu sh billion 300 hapo hujaongelea maboresho ya viwanja vingine kama taifa, serikali imeweka billion 700+ kwa ajili ya el nino sasa billion 10 unaona ni nyingiFor what? Unadhsni 10b inaokotwa? I am not against it but kuna vipaombele vya kusolve kwanza
Yaani, kwa kuwa "tunaweza kumudu gharama" ndo iwe sababu ya sisi kufanya huo mradi!Afrika hatuwezi endelea sababu kwenye fikra zetu kuna mambo tumeaminishwa hatuwezi ila ukiangalia gharama tunazimudu
Serikali imetenge billion 700 kwa ajili ya el nino hamlalamiki ila billion 20 kwa ajili sattellite launch pad unaona ni matumizi mabaya ya fedha na haina msaada ila afrika pagumu sanaYaani, kwa kuwa "tunaweza kumudu gharama" ndo iwe sababu ya sisi kufanya huo mradi!
Tuache matatizo yanayotuathiri moja kwa moja kila siku twende kufanya miradi ambayo haina msaada wowote ule mkubwa kwetu‽
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiriSerikali imetenge billion 700 kwa ajili ya el nino hamlalamiki ila billion 20 kwa ajili sattellite launch pad unaona ni matumizi mabaya ya fedha na haina msaada ila afrika pagumu sana
Hongera Sana kwa mawazo mazuri,Je kuna wajuzi wa field hiyo wapo hapa nchini ?Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
- Itatumika kwenye scientific study kama weather forecast
- Itatumiwa na makampuni kurusha satellite kwenye space na kuingizia nchi mapato
- Itatumika kwenye environment monitoring na kuondoa utegemezi wa nchi nyingine kwenye environment monitoring
- Itakuza field ya space exploration afrika kwa sababu kwa sasahivi iko dominated na nchi zilizoendela
- Itakuza viwanda vya kuzalisha satellite Tanzania
- Hii itafungua milango ya kujenga complex rocket launch pad
Tanzania tunaweza kabisa kujenga small satellite launch pad
Kama elon musk amelaunch satellite zaidi ya 1000 kwa Tanzania tushindwe i think huu ni mda wakufanya hivyo sababu gharama tunaweza zimudu
Kama serikali inajenga kiwanja cha arusha kwa billion almost 300 alafu unaona ni sawa na mda huo huo unaona ni matumizi mabaya ya fedha kwa kujenga sattelite launch ya billion 20 siwa basi wewe unatatizo kubwa sana la kifikraNina mashaka na uwezo wako wa kufikiri