Ni muda wa kuipongeza TBC sasa

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Inawezekana vyombo vingine venye kutuonesha matangazo ya mpira (Kombe la Dunia) vimeshindwa kwasababu tofauti, ila TBC wamejitahidi kuturidhisha kwenye kipindi hiki cha hali ngumu ya upatikanaji wa maji na umeme kwa wakati.

TBC oyeeeeee, TBC safiiiiiiii!
 
Inawezekana vyombo vingine venye kutuonesha matangazo ya mpira(WORLD CUP) vimeshindwa kwasababu tofauti ila TBC wamejitahidi kuturidhisha kwenye kipindi hiki cha hali ngumu ya upatikanaji wa MAJI na UMEME kwa wakati

TBC oyeeeeee TBC safiiiiiiii
Hujui hata ulichokiandika, TBC ni TV ya Taifa, imetolewa idhini kwa TV za Taifa ambazo ni FTA kuonesha bure world cup tena siyo mechi zote.

Wenye haki ni Multi choice kupitia Dstv super sport channels.
 
ILA TBC INGEKUWA BADO CHINI YA TIDO INGEKUWA MBALI SANA MAANA ATA CHANGING FROM ANALOGY TO DIGITAL TIDO NDIO ALIHUSIKA SANA .....SEMA MUNGU AMTUPI MJA WAKE SASAIVI YEYE NDIO CEO WA AZAM MEDIA TBC WANAJITAHIDI LAKINI ZBC WAMETUPITA MBALI COMPARED TO TBC
 
Zbc ambao kila saa wanasoma Quran wameizidi nini TBc?
 
.
JamiiForums188623407.jpg
 
Wanajitahidi sana kwa kutuhabarisha magoli yote 2 yamefungwa kwa wakati mmoja!

IMG-20221125-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom