Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,052
Wakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi.
Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa, anauwa na kuwafunga watu ambao wanamkosoa.
TUOMBE
Baba wa Mbinguni Mungu, wewe huwa unajibu maombi. Ulisema katika maandiko yako kuwa tutii kila mamlaka. Lakini kuna mamlaka nyingine zimewekwa na shetani. Mamlaka hii inatesa watu wake kwa kuwateka, kuwapiga, kuwaumiza na kuwaua. Inafunga watu ambao wanakosoa. Baba sisi hatuna nguvu ya kushindana nao. Tunajua wewe unaona na unatenda. Tunaomba ukatende kama ulivyotenda mwonzo. Tuondolee huu utawala uliojaa damu na utupatie viongozi wapya watakao tufikisha nchi ya ahadi.
AMINA