Ni mtego au?

Subutuu hujawahi kuumwa ile njaa yenyewe wewe mpaka unakunya panadol kupunguza maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Panadol inapunguza maumivu ya njaa πŸ˜‚

Nikiwa chuo maisha ya pasi ndefu kuna siku nikasema liwalo na liwe na njaa zangu, baada ya hapo kila kitu kililegea, njaa haina mbabe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…