Ni mtazamo tu!!

Japo ukiwa mwenyewe ni upweke kuna muda unabidi uwe hivyo ili mambo yako yaweze kwenda kama unavyopenda.
 
alone alone unajidAnganya... unaeza kua alone alaf jion unaenda uwanja wa fisi... :israel:
 
Nimewashauri tu wengine ila mimi siwezi kua alone
hahahahaaaaaaa..... unataka tukuachie vinono ufaidi peke yako...

Haachwi mtu "single" hapa, kila mtu na zinduna wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…