Ni Msomi unaesaka Ajira? USHAURI

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
1.USIWE NA PAPARA

-tulia jitahidi kutafuta kaz taratibu bila pressure pia jitahidi kutumia marefa ambao wamo ndani au karibu na waajiri.

2.KUWA TAYARI KWA LOLOTE.

-Kubali matokeo hata kama umeshindwa interview nyingi,usijisikie vibaya kwa wenzio kupita.

3.JIANGALIE WEWE KAMA WEWE

-usijilinganishe na wenzio jiangalie ww kama ww

4.KUZA UJUZI WAKO NA PATA UZOEFU.

-unapomaliza masomo na kupata taaluma yako ni bora ukautunza kwa kujisomea na kujikumbusha kile ulichosomea

5.KUWA NA MSIMAMO

-inashauriwa kufuata kile ulichosomea endapo utabadili iwe ni kwa mwelekeo wa muda.
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako. Umeniliwaza vya kutosha! Karibu nipate pressure na madonda ya tumbo kwa mawazo.
 
tatizo kun muda huwa ubafika hata hela ya kula unakosa achilia mbali vocha na nauli...
Ni kipindi kigumu sana,, nashukuru Mungu nimetoka huko japo ninapopataka sijafika.

Watafutaji msikate tamaa
 
Yote tisa, kumi ni kujaribu ujasiliamali. Kwenye ujasiliamali huwezi kukosa hela ya kula; kwani wajasiliamali ni wengi na wanajua tatizo la kukosa hela ni jambo la kawaida na kupata ni jambo la kawaida pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom