share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,062
- 10,461
Koroshow Ntwara.Niaje WanaJF!
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Koroshow Ntwara.Niaje WanaJF!
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Terminator sikumbuki namba ngapi Arnold anakufa mwishoniZipo nyingi tu mkuu;
1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn
Niendelee?
Kasim karim na dharmendraLoha,
From Bollywood
Kwenye Terminator, Arnold hua hafagi, ndio maana lazima kwenye part inayofuata atokee tena kuendeleza. Wanakufaga tu kina John Connor na Sarah ConnorTerminator sikumbuki namba ngapi Arnold anakufa mwishoni
Ndo Manake Mkuu,Kasim karim na dharmendra
Babake na suny deol alikata moto kwa kuzuiaa risasi
Mission ya kuwalinda wafungwa ilikua ngumu lolote lingetokea kwa wafungwa basi wasingepata mtotoNdo Manake Mkuu,
Adui Mzee Ashanti au Amrish Puri.
Ile movie ndio kati ya movie chache za kihindi nazozielewaga
Ipo nyingine inaitwa Karan & Arjun. Wanakufa halafu wanazaliwa tena!Niliwahi ona movie moja ya kihindi staring alikufa alafu akazaliwa mwingiene wamefanana vile vile na yule wa mwanzo,
Kilichofuata nilizima tv nikaend kulala.
Daah ila alikufa mwishoni sanaEmporor of sea ( Jan bog)
Sema kwenye Korean drama(historical) starring huwa anakufa kwa sababu nyingi huwa ni stori za kweliEmporor of sea ( Jan bog)
Hahaha nilitoaga chozi mate hapa nakumbuka;Daah ila alikufa mwishoni sana
Yes nyingi ni true story!!Sema kwenye Korean drama(historical) starring huwa anakufa kwa sababu nyingi huwa ni stori za kweli
Ndio Maana Mimi movie za kihindi sizifuatilii😂😂😂Ipo nyingine inaitwa Karan & Arjun. Wanakufa halafu wanazaliwa tena!
Hahaha nilitoaga chozi mate hapa nakumbuka;
Wahindi wana dharau sana aiseeNdio Maana Mimi movie za kihindi sizifuatilii