Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Ndo Manake Mkuu,
Adui Mzee Ashanti au Amrish Puri.
Ile movie ndio kati ya movie chache za kihindi nazozielewaga
Mission ya kuwalinda wafungwa ilikua ngumu lolote lingetokea kwa wafungwa basi wasingepata mtoto

Kuna nyingine inaitwa "jeet" kacheza salman khan na suny deol mwishoni alikufa suny deo
 
Back
Top Bottom