Ni MOTO WA MABUA Lakini Unaunguza.

Ni MOTO WA MABUA Lakini Unaunguza.

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
3,634
Reaction score
3,941
Nampongeza Rais J.K Kwa Kitendo Chake Cha Kutambua Lowasa Ni MOTO. Kwa Kitendo Hicho Tu Nampa Pongezi, Habari Ya Kujua Ni Aina Gani Ya Moto Hizo Ni Aina Tu Za Moto! Chamuhimu Ni Kwamba SIFA KUU YA MOTO BILA KUJALI NI AINA GANI YA MOTO NI KUUNGUZA NA KUBAKI MAJIVU. Kwahiyo Uwe Ni Moto Wa Mabua,makaratasi Lakini Sifa Yake Au Lengo La Moto Unaunguza Na Kubakisha Majivu, Tena Ni Kwa Haraka Sana, Hii Maana Yake Alimaanisha Ukawa Watachukua Nchi Asubuhi Na Mapema Kwa Haraka Sana Sk Ya 25 Oct. HEKO JK
 
rais wetu na falsafa zake za kitaarabu taarabu hizo anajikuta tu ameongea.
 
kweli kabisa,huku kwetu tunatumia mabua kupikia kande mpaka zinaiva
 
Kitu alichosahau Rais JK ni kwamba ukawa moto wa mabua CCM ni nyumba ya nyasi (tena juu mpaka chini). Hata njiti moja tu inaangamiza nyumba hiyo sembuse moto wa mabua.
 
Zinaanzishwa thread hazina kichwa wala miguu du!
 
Kitu alichosahau Rais JK ni kwamba ukawa moto wa mabua CCM ni nyumba ya nyasi (tena juu mpaka chini). Hata njiti moja tu inaangamiza nyumba hiyo sembuse moto wa mabua.

Moto wa mabua!! mwambieni akalie aone kama nyuzi za mshono hazijayeyuka
 
Huu moto wa mabua unaivisha maharage kama vile yamepikwa kwenye jiko la gesi, ama kweli bwana mamvi ni moto.
 
Kitu alichosahau Rais JK ni kwamba ukawa moto wa mabua CCM ni nyumba ya nyasi (tena juu mpaka chini). Hata njiti moja tu inaangamiza nyumba hiyo sembuse moto wa mabua.
Moto wa mabua(ukawa) vs Nyumba ya nyasi(ccm),nn unategemea?
 
Nitamchagua diwani na Mbunge kutoka UKAWA na si zaidi ya hapo. Kwa siye tuaminiao kwenye misingi na tunu Lowassa hachaguliki, kumchagua Lowassa sawa na Kujitia Kidole Matakoni kamwe siwezi,nawatakia kila la kheri muiwezayo kazi hiyo!

MILEMBE.jpg

Doctor.jpg

View attachment 277284
 
Back
Top Bottom