Ni mnyama gani mzembe sana katika maisha yake

ha ha ha, mmenichekesha sana.
Mie mnyama mzembe kabisa ni NAZI.
 
Nyumbu ni wazembe hasa wanapovuka mto huwa wanakanyagana mpaka wanauwana,wakiona hungry lion hawajihami zaidi ya kushangaa.
 
nyumbu hata wawe kundi la wanyama 500 simba mmoja tu anawatawanya wote alafu ni wanyinga sana yaani ukiambiwa una akili kama za nyumbu pigana
 
Moth(aina ya kipepeo anaruka usiku) mara nyingi moth wanaungua na moto wa mshumaa/kibatari etc. Miaka mamilioni ya evolution hayakuepusha kiumbe hiki na hatari ya 'kuchezea' moto.
 
jamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
Nyumbu ni mnyama mzembe kuwindwa na hao wanyama uliowataja
 
Kuna kenge,sielewi au ni mjinga,mana akiona mvua inakuja anaikimbia halafu anaingia baharini/ziwa kukwepa matone ya mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…