kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,435
- 4,997
Hapo kafa au ndo manyoya yake yalivyo?
Nyegere huyo umemtoa wapi boda wangu?Habari wakuu!
Huyu Ni mnyama gani?
Kauliwa na mbwa wa nyumbani using
View attachment 1456304View attachment 1456305View attachment 1456306
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauliwa na mbwa usikuNyegere huyo umemtoa wapi boda wangu?
Jr[emoji769]
Nyegere ni kicheche?Nyegere huyo umemtoa wapi boda wangu?
Jr[emoji769]
Yeye huwa anakula kuku pia?Same gene
Jr[emoji769]
Haha! Hakuna shida bure utachukuaMbwa wako akizaa tuuziane wana wake. Ana akili huyo
[emoji3][emoji3] umenchekesha mkuuHuyo ni kibwengo maji angalia kama kuna jirani yako kafa ujue ndio alikuwa kajigeuza huyo mdudu ili awafanyizie bahati yako una MUNGU