Ni mnene lakini ni mvivu kwenye shughuli

Mimi nina miaka 22 nina mpenzi wangu ambaye nampenda Sana tumeanzisha mahusiano hivi karibuni ni mzuri sana lakini kinachonichosha ni mvivu kwenye sita kwa sita pia umbo lake linasababisha tutumie stail moja kitu ambacho kinakela natamani kumwacha lakini bado nampenda ushauri wetu tafathali
We ni demu au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote wanajua staili,mvumilie tu chamuhimu utelezi unapatikana.
 
Utasemaje unampenda mtu, huku ukitamani kumaucha...

Kama unampenda mvumilie...

Cc: mahondaw
 
Mimi nina miaka 22 nina mpenzi wangu ambaye nampenda Sana tumeanzisha mahusiano hivi karibuni ni mzuri sana lakini kinachonichosha ni mvivu kwenye sita kwa sita pia umbo lake linasababisha tutumie stail moja kitu ambacho kinakela natamani kumwacha lakini bado nampenda ushauri wetu tafathali
Akili za kitoto hizo kumuacha sio kumsaidia kama ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom