Wewe umeambiwa iwe siri halafu uankuja kutuambia
Lazima ataitoa no way....Kama unataka asiitoe maana ndo kitakacho fuata bora uwaambie wazazi mapemaa...
matokeo ya chips kuku na novida ndio hayo...
Huyo mtoto aitwe UKAWA, Hivyo waambie wazazi mapema ili mimba asiitoe.