Wakuu habari za usiku
natumaini ni wazima back to the topic niko hapa jimboni chalinze kama tunavyojua ni jimbo la uchaguzi watu wengi wanaonekana kutokufurahishwa na uamuzi wa chama cha mapinduzi kumpitisha prince riz one kugombea ubunge wengi wanalalamika ahadi alizozitoa baba yake alipokuwa mbunge hakuzitimiza na hata walipoamua kumuunga mkono kwenye kinyanganyiro cha urais aliishia kuwalekeza je huyu mtoto atatusaidia nini?
Masikio na macho yote ya wana chalinze tumeyahamishia chadema kama wakimsimamisha mtu mzuri basi tutamuunga mkono
hatahivyo kuna tetesi zinazosambaa kwa kasi sana kuwa mtoto wa rais miraji kikwete anatarajia kuchukua fomu ya kugombea kupitia chadema (miraji amekuwa haelewani na riz wala baba yake na kwa wanaomfahamu hawatashangaa kusikia hili)
pia mkurugenzi wa ----------- said kubenea naye ameonesha nia ya kugombea kupitia chadema
nimeongea na kiongozi wa chadema chalinze akaniambia wawili hao wanatarajia kuchukua fomu mapema wiki hii
ninauhakika kura za maoni zitakuwa na ushindani sana hasa kwa kubenea na miraji
JE NI MIRAJI AU KUBENEA CHALINZE?