Ni miraji Kikwete au Said Kubenea, Chalinze?

Ni miraji Kikwete au Said Kubenea, Chalinze?

Upinzani waachane na ilo jimbo. Nikupoteza muda,nguvu na pesa ambazo zingeweza kuelekezwa sehemu nyingine.
 
Eti JK hajafanya kitu alipokuwa mbunge, fanya utafiti kabla ya kukurupuka, ile mitambo ya maji pale Wami inapeleka wapi maji? Unajua kinachoendelea sasa hivi? Ukiza wakazi kwanza wa Chalinze kabla ya kuandika.
 
Tunafahamu BAVICHA kuna viwanda vya kuzalisha majungu, vitina na ulaghai kama ilivyo misingi ya CHADEMA. Hili andiko lako halihitaji hata kutumia fikra zinazotumia 3D katika kutafakari.

Hata mkiongeza uzalishaji w majungu, fitina na ulaghai hamuwezi kuitingisha Chalinze kisiasa.

Jiandaeni kupata kipigo cha kisiasa kwanza Kalenga halafu ndiyo muanze kujiandaa kisaikologia pale sunami ya kisiasa ya Chalinze itakapowafika.

CCM ni sera, CCM ni Ilani ya uchaguzi na CCM ni ushindi.

Jaribu kuangalia matokeo ya chaguzi za ubunge za 2005 na 2010, ndiyo upate mwerekeo wa kile kilicho mbioni kuwapata.

CHADEMA na Kubenea ni ndoa takatifu ya kishetani kwa sababu wote wanaishi katika misingi inayofungamana ambayo niya majungu, fitina na ulaghai.

Sera mlizobakinazo nikukausha hazina yote nakuwanunua wanasiasa wasiojitambua Kama akina Zitto nakuwatumia police.Hizo sera za Maisha bora kwa kila Mtanzania huku mkirithishana ufalme Watanzania wameshawapuuza,Wewe mwenyewe siajabu ni mramba Viatu tu ndio maana unatumika wakati wakubwazako wakijinufaiaha
 
Sera zenu zilisha shindwa siku nyingi, mmebakia na rushwa, ufisadi na ushirikina tu! hamna jipya manyang'au wakubwa nyie.
Wewe endelea kupingana na ukweli wakati ukuta wa ukweli halisia unasomeka hivi,
CCM YAIGALAGAZA CHADEMA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI, CHADEMA YAAMBULIA KATA 3 WAKATI CCM IKIZOA KATA 24 KATI YA KATA ZOTE 27, HUKU DIWANI WA CHADEMA AKIWAKABIDHI KATA CCM.
Kama meneno yangekuwa ndiyo hali halisi basi ulipaswa kupewa tuzo ya kwanza lakini kwa vile maneno yanakamilisha ubinadamu basi, kila mtu anaweza kusema haya maneno uyasemayo.
 
Eti JK hajafanya kitu alipokuwa mbunge, fanya utafiti kabla ya kukurupuka, ile mitambo ya maji pale Wami inapeleka wapi maji? Unajua kinachoendelea sasa hivi? Ukiza wakazi kwanza wa Chalinze kabla ya kuandika.

"jf imevamiwa na spin doc wengi sana"by melo jf founder
 
Kikao gani cha wanachama wa CHADEMA kimekaa na kuchagua huyu mdaku kubenea kugombea ubunge?

mipigo ya moyo yameanza kwenda kasi lumumba kusikia jembe la haswa na msomi na mwandishi huyu ambaye kikwete akimsika anapata mfadhaiko kwamba jimbo linabebwa kirahisi
 
Sera mlizobakinazo nikukausha hazina yote nakuwanunua wanasiasa wasiojitambua Kama akina Zitto nakuwatumia police.Hizo sera za Maisha bora kwa kila Mtanzania huku mkirithishana ufalme Watanzania wameshawapuuza,Wewe mwenyewe siajabu ni mramba Viatu tu ndio maana unatumika wakati wakubwazako wakijinufaiaha
Kama ilivyoripotiwa hapa Jamiiforums.

Turudi nyuma kidogo katika msuguano ndani ya chama chetu CCM ambao ulisababisha waziri Mkuu kujiudhuru 2008 utagundua nyayo za Rostam Aziz na wapambe wake kuanza kufanya mahusiano ya karibu sana na baadhi ya viongozi wa CHADEMA akiwa na matumaini ya kusaidia CHADEMA katika kuiondoa CCM madarakani ili kukamilisha dhana ya tukose wote ndani ya CCM.

Kwa vile maandalizi yalikuwa ni hafifu na muda haukuwa upande wao, hilo lilishindikana baada ya CCM kupata kura za Urais zaidi ya 60% na pia kura za ubunge zaidi ya 76%.

Hapa ndipo hoja ya kupewa pesa za kampeni za urais inakuja kusadifu hoja ya mwanzo ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mh. Mbowe alinukuliwa na vyombo vya habari wakisema,
“Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?” alihoji Mbowe.

Ukaribu huu wa viongozi wa CHADEMA na Rostam Aziz mpaka kupeana pesa ulipelekea Rostam Azizi kushinikizwa na chama kujiudhuru nyadhifa zote na kukaririwa na vyombo vya habari akisema anaachana na siasa “uchwara” za kuchafuana majina ambazo zimeathiri siyo shughuli zake tu bali hadhi yake kama mfanyabiashara wa Kimataifa.

Viongozi wa CHADEMA walikuwa vinara wa kupinga ufisadi wakati huo huo wakitumia pesa ya 'mafisadi' kuendesha chama kwa matumaini ya kuua ndege wawili kwa jiwe moja. CCM kudhoofika kwa vile kuna makundi na hapo hapo wakinufaika kwa chama kupata nyenzo za kiutendaji kutoka kwa mafisadi.

They are having to live a political lie and they'll die in political lie.

Hawawezi kutumia ulaghai kupambana na ukweli. The chickens have come home to roost.

Tuliposema CHADEMA ni walaghai kuna baadhi ya watu hawakutuelewa. Kwa sasa wao wenyewe wanadhibitisha yale tuliyokuwa tunayasema.

Kwa faida ya taifa letu endelevu, tunaomba wafukuzane kwa sasa ili jamii ifahamu ukweli wa utapeli wao wa kisiasa katika taifa letu.
 
Upinzani waachane na ilo jimbo. Nikupoteza muda,nguvu na pesa ambazo zingeweza kuelekezwa sehemu nyingine.

mbunge wa chalinze mh.said kubenea imekaaje hiyo mkuu?
 
Tunafahamu BAVICHA kuna viwanda vya kuzalisha majungu, vitina na ulaghai kama ilivyo misingi ya CHADEMA. Hili andiko lako halihitaji hata kutumia fikra zinazotumia 3D katika kutafakari.

Hata mkiongeza uzalishaji w majungu, fitina na ulaghai hamuwezi kuitingisha Chalinze kisiasa.

Jiandaeni kupata kipigo cha kisiasa kwanza Kalenga halafu ndiyo muanze kujiandaa kisaikologia pale sunami ya kisiasa ya Chalinze itakapowafika.

CCM ni sera, CCM ni Ilani ya uchaguzi na CCM ni ushindi.

Jaribu kuangalia matokeo ya chaguzi za ubunge za 2005 na 2010, ndiyo upate mwerekeo wa kile kilicho mbioni kuwapata.

CHADEMA na Kubenea ni ndoa takatifu ya kishetani kwa sababu wote wanaishi katika misingi inayofungamana ambayo niya majungu, fitina na ulaghai.

mkuu MwanaDiwani,Hata kuwaacha hawa vijana wa chadema kuwapotosha watu humu niunyonge pia,Nivema wasiachwe wanapo leta upotoshaji wajibiwe,unyonge alio usema kikwete nipamoja nakutojibiwa pale wanapo tunga uongo alafu wana ccm wanakaa kimya, nauongo unapojirudia rudia unaonekana niukweli,
 
Wakuu habari za usiku
natumaini ni wazima back to the topic niko hapa jimboni chalinze kama tunavyojua ni jimbo la uchaguzi watu wengi wanaonekana kutokufurahishwa na uamuzi wa chama cha mapinduzi kumpitisha prince riz one kugombea ubunge wengi wanalalamika ahadi alizozitoa baba yake alipokuwa mbunge hakuzitimiza na hata walipoamua kumuunga mkono kwenye kinyanganyiro cha urais aliishia kuwalekeza je huyu mtoto atatusaidia nini?
Masikio na macho yote ya wana chalinze tumeyahamishia chadema kama wakimsimamisha mtu mzuri basi tutamuunga mkono
hatahivyo kuna tetesi zinazosambaa kwa kasi sana kuwa mtoto wa rais miraji kikwete anatarajia kuchukua fomu ya kugombea kupitia chadema (miraji amekuwa haelewani na riz wala baba yake na kwa wanaomfahamu hawatashangaa kusikia hili)
pia mkurugenzi wa ----------- said kubenea naye ameonesha nia ya kugombea kupitia chadema

nimeongea na kiongozi wa chadema chalinze akaniambia wawili hao wanatarajia kuchukua fomu mapema wiki hii
ninauhakika kura za maoni zitakuwa na ushindani sana hasa kwa kubenea na miraji
JE NI MIRAJI AU KUBENEA CHALINZE?

if Miraji was serious,would come forth and challenge his bro,but Said is enough!
 
Kuna mijitu migumu kuelewa unaambiwa tetesi.......utak kuelewa

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Kikao gani cha wanachama wa CHADEMA kimekaa na kuchagua huyu mdaku kubenea kugombea ubunge?

Wewe unamwiita Kubenea Mdaku na nyie huko CCM inakuwaje mnamteua Muuza Madawa ya Kulevya Kugombea Ubunge?
 
Chadema inatamani sana iwe ccm lakini ndio hivo tena imekataliwa na wananchi
 
Machadema km kawaida yao, hayana watu wa maana, yanasubiri kuwe na mgogoro ndani ya ccm hususan kwa wagombea wenye uchu wa madaraka wanaokosa ili wawashawishi wajiunge huko ili wawasimamishe kugombea
 
Yeyote kati yao ni sawa tu! Maana najua hakuna jipya hapo Chalinze zaidi ya kujineemesha wao na vyama vyao!
 
Tunafahamu BAVICHA kuna viwanda vya kuzalisha majungu, vitina na ulaghai kama ilivyo misingi ya CHADEMA. Hili andiko lako halihitaji hata kutumia fikra zinazotumia 3D katika kutafakari.

Hata mkiongeza uzalishaji w majungu, fitina na ulaghai hamuwezi kuitingisha Chalinze kisiasa.

Jiandaeni kupata kipigo cha kisiasa kwanza Kalenga halafu ndiyo muanze kujiandaa kisaikologia pale sunami ya kisiasa ya Chalinze itakapowafika.

CCM ni sera, CCM ni Ilani ya uchaguzi na CCM ni ushindi.

Jaribu kuangalia matokeo ya chaguzi za ubunge za 2005 na 2010, ndiyo upate mwerekeo wa kile kilicho mbioni kuwapata.

CHADEMA na Kubenea ni ndoa takatifu ya kishetani kwa sababu wote wanaishi katika misingi inayofungamana ambayo niya majungu, fitina na ulaghai.

CCJ @ work,full mipasho!!!
 
Back
Top Bottom