..Ni mimi tu au hata wewe?...

kazi na dawa, huku nasimamia shughuli zangu huku naperuzi jf, kuna vingi vinanipanua mawazo humu na kuna idea nyingine nachukua humu......

akili mukichwa.....





halafu na wewe judgement, ulijuaje sie tunashinda humu? bila wewe kuwa mshindaji? loh!!!!!!!
 

kazi gani tena Jg...?hapa unaponiona masaa mingi mpaka unasifia ndo ofisini...umemsahau mkeo...LOL
 

BT, mie zangu hua nakuja kimaviziaji na Sababu kubwa shughuli zangu ndiyo hunikwamisha kuvisit humu x kwa x ! Kazi zangu ni za kuchafua mikono!
Greece ndiyo hua my first enemy b'twin me with Jeief, unakuta nimenawa mikono saa hii, nashika tu cm vinazuka tena vya kuchafua mikono.
 
sie wengine tunasubir tuperuz usiku kuaangalia yaliyojiri siku nzima
 
Hhhahaaaa haya kaka, endelea kuingia jeiefuu kwa kuvizia loh!!!!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…