MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,259
- 13,634
Kutegemea jeshi ni sawa kuota ndoto unampiga pipe Beyonce kumbe uko zako Tandale kwa mtongole kwenye nyumba ya fullsuit ya batiMbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
Hivi TBC hawajarusha live?Umeangalia uapisho kupitia wapi?
ipo live YoutubeUmeangalia uapisho kupitia wapi?
Citizen TV youtubeUmeangalia uapisho kupitia wapi?
Iko TBC but highly censoredHivi TBC hawajarusha live?
Ungeelezea hayo mapungufu Ili sisi tusiojua mambo ya jeshi tueleweMbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
ndio kamuongoza ktk events zote za kijeshi. Labda kofia tu aliyo vaa ndio imemficha..sikumuona Cdf Mkunda.
Wanaapishwa ili iweje, kwa mfano? Hawa mazafakas hawajawahi kuviishi viapo in any meaningful way. Wanasigina Katiba yetu left and right, day in day out, with impunity.Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
Babu jinga limeinama huku mali ikiliwa na mkwere.Lile hug na kikwete ndo liliniacha kinywa wazi huku hafidh ameir akibaki anaangalia kwa pembeni tu
Kwa jeshi lipi?Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.