Ni miezi nane imepita tangu nipate ajira

kamagetac

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
2,480
643
Habari zenu

Nilitafuta kazi kwa muda mrefu lakini hatimae nikapata kazi,kwa kweli ashukuriwe muumba mbingu na nchi.

Kwa kweli kazi ilikuwa nzuri ila sasa muheshimiwa kaingilia imeanza kuwa mwezi kwa mwezi.Maana kitaasisi hiki mmmh kazi muda mfupi maendeleo utafikiri uliajiriwa miaka 15 iliyopita.
 
Back
Top Bottom