Ni miaka 60 ya Uhuru wa nini?

Uhuru ni dhana pana so ni vema wananchi wakawa wanaeleweshwa kuwa tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru wa nini?

Ni Uhuru wa kujitawala baada ya kumfurusha mkoloni?

Je, ni Uhuru wa kumiliki rasilimali zetu?

Je, Uhuru wa kila mwananchi kuwa huru ndani ya nchi?

Au.......?

Sabato njema!
Uhuru wa akina kingae na Mahita with their company ccm kuteka, kuua na kubambikia raia kesi za kubumba.
 
Uhuru ni dhana pana so ni vema wananchi wakawa wanaeleweshwa kuwa tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru wa nini?

Ni Uhuru wa kujitawala baada ya kumfurusha mkoloni?

Je, ni Uhuru wa kumiliki rasilimali zetu?

Je, Uhuru wa kila mwananchi kuwa huru ndani ya nchi?

Au.......?

Sabato njema!
Ni UHURU wa kuropoka ropoka kama unavyofanya wewe na wenzio wenye mtindio kama wako.

Ndio maana unaropoka na kwenda kulala kusubiri kesho uendelee kuropoka tena bila kuguswa.

Usiwasingizie wasabato bali kina Shoo!
 
Wa wanakijani kujilia keki ya taifa wenyewe Tena kwa ulafi.
 
1.Uhuru wa chama Fulani kuiba uchaguzi

2.Uhuru wa kubambikiziana kesi

3.Uhuru wa kupandisha vitu bei wanavyotaka

4.Uhuru wa kuanzisha tozo yoyote kutegemea siku hiyo wameamkaje

5.Uhuru wa viongozi kutoa matamko badala ya kutunga Sheria

6.Uhuru wa chama fulani kuzuia mikutano ya hadhara vyama vingine wakati chenyewe wakitaka wanafanya hata usiku wa manani hakuna wa kuwazuia

7.Uhuru wa vyombo vya habari

8.Uhuru wa kuandamana

9.Uhuru waa...Bunge live!!

10.Uhuru wa...

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Tulipochukua Uhuru mambo yalikuwa muruwaa mpaka tulipozidandia Siasa za Kikomunisti, hapo ndipo Kenya walipotuacha tukabaki tunavaa Katambuga za Matairi na kuimba Nyimbo za kumsifu Nyerere.

Kwakweli Kikwete alijaribu kuturudisha kwenye mstari ila tukamuita 'Gaidi' matokeo yake ndio haya.
 
Ni UHURU wa kuropoka ropoka kama unavyofanya wewe na wenzio wenye mtindio kama wako.

Ndio maana unaropoka na kwenda kulala kusubiri kesho uendelee kuropoka tena bila kuguswa.

Usiwasingizie wasabato bali kina Shoo!
Shoo wa Chadema?!
 
Si unajua tena "Zimwi likujualo halikuli likakwisha"?

Kwahiyo ni uhuru kutoka kwa Zimwi Mzungu lisilokujua na kuingia kwenye domo la Zimwi Likujualo CCM

Uhuru wa kuwa na Zimwi ambalo watu watalishangilia hata kama litakuwa linawanyonya damu bila kuwapa lishe bora ya kurejesha damu zao!

Sema ndo hivyo tena, tunashindwa tu kukwisha lakini tumebaki nyang'anyang'a...
 
Back
Top Bottom