Ni miaka 17 tuuu!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Jamani msaada
Jamaa yangu juzijuzi tu hapa kanambia kuwa kapata mchumba. Tulikuwa na ugomvi aoe maana yuko 35 sasa! Basi juzi tu akanambia kuwa kampata mwenza na anataka mipango iende fasta na aoe ikiwezekana this year. Basi bibiye naye kapenda tukaitwa tukaonyeshwa. Tukaona binti mzuri kwa kweli (kwa sura lakini maana tabia hatujui). Jamaa kapata bana! Toto mashallah kakamilika idara zote bana. Sasa juzi jamaa anataka kwenda kujitosa kwa wazazi akaja kwetu. Dodosa kumbe binti na mwili wake woote dah miaka 17 bana!
Mimi nilimuuliza ushampeleka chumbani kwako? Jamaa akanambia tayari na kila kitu safi ushirikiano wa kutosha. Nikamwambia sasa PINGU zinafuata! Ni bora aachane naye! Kaelewa akaanza excuse za hapa na pale! Mtoto kasema kama hatomwoa atamsemea kuwa alimwita akamskumizia chumbani akambaka na mbaya sms zote za kimapenzi alozokuwa anamwandikia ataonyesha maana hajazifuta kwenye simu yake. Jamaa anapanga kuishia zake mkoa mwingine. Nimsaidieje?
Nawasilisha
 
kwa mtu wa 35 kuoa 17 yrs ni matatizo hayo(more than twice yunger).
Ni challenges gani wataongea ndani?...na kwanini huyo mtoto amekimbia shule?
Ina maana jamaa hadi anavutia chumbani alikuwa hana mawasiliano naye, hadi ANAKUJA kufahamu kama surprise?
Sasa na we mkuu wangu Eeka, ulishindwa kumgundua huyo binti kuwa ni kinda?...maongezi yake hukuyastukia?
Jamaa akikimbia mkuu unadakwa weye hadi uweke sawa mambo!
Mshauri amwite mahali amwambia kiuwazi kuwa ni kinyume cha sheria kuoa mtoto wa 17 , mtafungwa bure!...Kama huyo mtoto hatoelewa ni moja ya kipimo cha utoto, basi jamaa akimbie hapo!
 
Aombe uchumba alafu wasubirie mwakani au hata minne mitano mbeleni kufunga ndoa kama tatizo ni miaka tu!‘!Maana kama anampenda kweli sidhani kama hilo litashindikana!!

Ila kama nia yake ilikua kumchezea mtoto wa watu aachane nae!!Aanze kwa kuhakikisha mahusiano ya chumbani anasitisha asap....alafu avumilie muda kidogo upite ahakikishe binti
hajaambulia ujauzito kama walikua
haazingatii kinga.Baada ya hapo aanze vimbwanga vya hapa na pale ili binti ndo amuache yeye kumuepushia mtoto wa watu maumivu kwa kiasi flani!!

Next time asiingie tu kichwa kichwa....atanyea debe!!!
 
PJBana mkuu sikujua bana mpaka alipotolewa hadharani. Binti kwa uchunguzi faamilia mfarakano flani hivi. Mama kakorofishana na mzee! Mama anaishi kivyake mzee kivyake. Ada ikawa mgogoro kwa binti. Ila niamini kwenye sura mkuu ana ya kitoto ila kwenye hilo liumbo baba ukiambiwa 24,25 unaamini. Mawasiliano si ndo akaja kutuambia kuwa huyu ni under 18 mwanangu! Saa hii jamaa kajichimbia huko kwako mkuu! Binti anatusumbua mbaya nako eti kanataka kawe mama!
 
kwa mtu wa 35 kuoa 17 yrs ni matatizo hayo(more than twice yunger).
Ni challenges gani wataongea ndani?...na kwanini huyo mtoto amekimbia shule?
Ina maana jamaa hadi anavutia chumbani alikuwa hana mawasiliano naye, hadi ANAKUJA kufahamu kama surprise?
Sasa na we mkuu wangu Eeka, ulishindwa kumgundua huyo binti kuwa ni kinda?...maongezi yake hukuyastukia?
Jamaa akikimbia mkuu unadakwa weye hadi uweke sawa mambo!
Mshauri amwite mahali amwambia kiuwazi kuwa ni kinyume cha sheria kuoa mtoto wa 17 , mtafungwa bure!...Kama huyo mtoto hatoelewa ni moja ya kipimo cha utoto, basi jamaa akimbie hapo!
Labda kakomaa kiakili kuliko umri wake....au jamaa ndo hajakomaa kwahiyo wanaendana vizuri tu!!
 
Aombe uchumba alafu wasubirie mwakani au hata minne mitano mbeleni kufunga ndoa kama tatizo ni miaka tu!'!Maana kama anampenda kweli sidhani kama hilo litashindikana!!

Ila kama nia yake ilikua kumchezea mtoto wa watu aachane nae!!Aanze kwa kuhakikisha mahusiano ya chumbani anasitisha asap....alafu avumilie muda kidogo upite ahakikishe binti
hajaambulia ujauzito kama walikua
haazingatii kinga.Baada ya hapo aanze vimbwanga vya hapa na pale ili binti ndo amuache yeye kumuepushia mtoto wa watu maumivu kwa kiasi flani!!

Next time asiingie tu kichwa kichwa....atanyea debe!!!

Kama umemsoma PJ watashare nini sasa? Yaani unarudi toka job unamkuta anacheza nage pale nje!
 
Hehhe hehe huwezi jua labda ndo kabinti kenyewe mie ohooo :biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Ha haa haaaaaaaaaa haya bana! Ila yule tuliyekuwa naye kwenye kikao cha juzi alikuwa na zile jeki za siku hizi bana!
 
Kama umemsoma PJ watashare nini sasa? Yaani unarudi toka job unamkuta anacheza nage pale nje!
Na mimi nimemjibu inawezekana binti kakomaa kiakili au jamaa hajakomaa ndio maana hakumgundua mapema....kwa maana hiyo uwezo wao unalingana....na kama walikua wanaelewana lugha muda wote huo mpaka kufikishana chumbani hata huko mbeleni itawezekana!!‘

Ikiwa jamaa nae atajiuliza swali kama hilo itabidi nimtafute aambulie angalau kangumi maana hayo mawazo alitakiwa afikirie yote kabla ya kumharibu mtoto wa watu!!
 
Na mimi nimemjibu inawezekana binti kakomaa kiakili au jamaa hajakomaa ndio maana hakumgundua mapema....kwa maana hiyo uwezo wao unalingana....na kama walikua wanaelewana lugha muda wote huo mpaka kufikishana chumbani hata huko mbeleni itawezekana!!'

Ikiwa jamaa nae atajiuliza swali kama hilo itabidi nimtafute aambulie angalau kangumi maana hayo mawazo alitakiwa afikirie yote kabla ya kumharibu mtoto wa watu!!

Sisi ndo tumeona hatari jamaa alikuwa hajagundua hatari hata kidogo! Yeye alikuwa anamumunya tunda tu haelewi! Tumempeleka darsa ndo jamaa anajifunika shuka karibu kukuche! huyooo mkimbizi saa hii. Shemeji yetu anasumbua huyoooooooo!
 
Kama mpaka nyie muone alichotakiwa kuona yeye basi amini kwamba uwezo wao uko sawa....amsubirie tu akiongeza miaka amuoe!!
 
Kama mpaka nyie muone alichotakiwa kuona yeye basi amini kwamba uwezo wao uko sawa....amsubirie tu akiongeza miaka amuoe!!

Asante kwa ushauri. Tutakualika kwenye utambulisho. Sijui itakuwaje maana jamaa keshaanza kupata ule ugonjwa wa nywele nusu kichwa!
 
aisee gap kubwa sana. Yaani mara mbili! Mmh! Mwambie aje jf wachumba tupo.

JF eeeeeeeeee. Kuna watu hawajui hata hii kitu inatumiwa vipi! Husninyo huyu binti ni mzuri bana! Yaani akipita hata wewe unageuka! Ametu-discourage sana. Jamaa yangu siku za karibuni La Liga alikuwa hakosi bana. Kisa mama anataka kwenda club. Ha ha haaaaaaaaaaa kweli kupenda!
 
Kumbe Mo town....mwambie aje Soweto nimpe maujanja!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom