Ni mgeni hapa jamiiforums

Ni mgeni hapa jamiiforums

Magoa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
28
Reaction score
5
Mimi member mgeni kabisa nimeamua kujiunga na JF kwa sababu mbali mbali lengo ni kupata Habari na faraja kutoka kwa members wengine tafadhali ushilikiano wenu dhidi yangu unahitajika
 
kuna mitihani humu!!!
watu wengne wanacomment mambo ya ajabu!
uwe unapotezea tu smtms
 
wewe ni ME au KE !??

Kwa hisani ya watu8
 
Last edited by a moderator:
Umeingia chumbani moja kwa moja kwani hukuuona mlango umeandikwa UTAMBULISHO??
 
Weye mgeni hadi kwa chumba unaingia!! KARIBU yawezeka hujakuta mtu sebuleni(utambulisho)
 
Back
Top Bottom