Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jul 1, 2013 #1 Huyo jamaa wa nne white garment na tie aliyeshikilia dude lake au anajikuna kimanda?
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Jul 1, 2013 #2 anajikuna fangasi mchezo
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Jul 1, 2013 #3 kati ya jk au michelle mmojawapo atakuwa ameona jamaa anavyojipa raha!!!
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jul 1, 2013 Thread starter #4 Mama yetu wa kwanza hakuwepo?
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,917 Reaction score 7,124 Jul 1, 2013 #5 kitu cha Fungi baab.
M MgungaMiba JF-Expert Member Joined Aug 28, 2011 Posts 999 Reaction score 816 Jul 2, 2013 #6 Michelle alikuwa kavaa kimini na kilikua kinapepea na upepo, nadhani ndio kilisababisha hiyo kwa jamaa! ( hana fangas, walikaguliwa na FBI kila pahala, angekuwa nazo asingeruhusiwa karibu ya Obama!)
Michelle alikuwa kavaa kimini na kilikua kinapepea na upepo, nadhani ndio kilisababisha hiyo kwa jamaa! ( hana fangas, walikaguliwa na FBI kila pahala, angekuwa nazo asingeruhusiwa karibu ya Obama!)
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Jul 2, 2013 #7 Doo hayo mambo yaacheni tuu jamani... Akilizote zinahamia kunako?