Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,408
- 115,502
Za siku swalama kabisa Mtani. Umemisika tu.Hahahaha Mtani Za Siku Mtani!?
Nikajua Ile Ya Tar Nane Tutashtuana Ila Sijui Kwanini Nilihisi Ile Mechi Tunaenda Kukaa Ikabidi Nitulie Kimya, Uku Nikiomba Tu Nisione Tag Yako.
Ipo Siku Tu Mtani Tutaonana InshaAllah.
Ila Apo Kwenye Userious Hapana Mtani Ni Mandishi tu Haya Sema Sie Ni Wale Si Waongeaji Sana Labda.
Tuombe uzima najua kwenye ASFC fainali tutakutana Insha Allah.
Oooh. Halafu una bahati kweli yaani niliwatag watani zangu kibao halafu wewe nikakusahau. 🤣🤣🤣