Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,811
- 7,489
Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
Tanzania tunaweza kabisa kujenga small satellite launch pad
Kama elon musk amelaunch satellite zaidi ya 1000 kwa Tanzania tushindwe i think huu ni mda wakufanya hivyo sababu gharama tunaweza zimudu
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
- Itatumika kwenye scientific study kama weather forecast
- Itatumiwa na makampuni kurusha satellite kwenye space na kuingizia nchi mapato
- Itatumika kwenye environment monitoring na kuondoa utegemezi wa nchi nyingine kwenye environment monitoring
- Itakuza field ya space exploration afrika kwa sababu kwa sasahivi iko dominated na nchi zilizoendela
- Itakuza viwanda vya kuzalisha satellite Tanzania
- Hii itafungua milango ya kujenga complex rocket launch pad
Tanzania tunaweza kabisa kujenga small satellite launch pad
Kama elon musk amelaunch satellite zaidi ya 1000 kwa Tanzania tushindwe i think huu ni mda wakufanya hivyo sababu gharama tunaweza zimudu