Ni mda serikali itoke na kutueleza Polepole yuko wapi?

Kipindi anaendelea na maongezi yake mtandaoni, polisi walitoa barua kumtaka afike kituo cha polisi ili kuthibitisha asemayo..

Polepole mwenyewe nakumbuka kwenye ile video alisema ikitokea nimefika kituo cha polisi basi inakuwa nitolee, inakuwa Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... alifahamu wakimtia mikononi ni kifo kinafuatia...

Ni probability ndogo sana kama ni mzima, hata kaka yake yule anayepiga mikwara siku hizi sijui kapotelea wapi...
 
Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.

Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Ukweli ni kwamba jamaa kashapotezwa muda maana yulè alikuwa mwiba zaidi ya lissu walipika nae pakua alfu akawageuka
Mfano kutoa siri kuwa mifumo ya nida imeunganishwa na ya ccm ilo tu lilipaswa rais ajiuzuru lakini kwa kuwa sisi ndio hivyo tena basi likapita kama upepo.
 
Kipindi anaendelea na maongezi yake mtandaoni, polisi walitoa barua kumtaka afike kituo cha polisi ili kuthibitisha asemayo..

Polepole mwenyewe nakumbuka kwenye ile video alisema ikitokea nimefika kituo cha polisi basi inakuwa nitolee, inakuwa Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... alifahamu wakimtia mikononi ni kifo kinafuatia...

Ni probability ndogo sana kama ni mzima, hata kaka yake yule anayepiga mikwara siku hizi sijui kapotelea wapi...
Taratibu watakubaliana na hali kuwa ndugu yao ni Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un...
 
Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.

Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Mkuu; swali lako ni nyeti sana.
Lakini ukimsikiliza Butiku between the lines unaona kabisa anajutia alichokifanya. Ndo maana anawahimiza vijana kuwa makini.
He led to his death!
 
Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.

Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Hii Samia, Abdul au Wanu mmoja lazima atalipa hii fidia.
 
Lakini hali haipo shwari...
2030 kunawezekana akatokea Polepole mwingine na akaja kivingine..

Ndani ya ccm bado kuna mivutano...
Hao wapo tu na hawawezi kuisha ndio dunia ipo ivyo hakuna chama au mtu atatawala milele ccm itapita na kitachokuja pia hivyohivyo.
 
Mzalendo polepole kauliwa na sa100 kwa mikono yake ndiyo maana hawataki kusema.Angekuwa ameuwawa na mtu ambaye hana nyazifa nchini angekuwa tayari kakamatwa na kuwekwa hadharani.yote kw yote nayeye atakufa tu huyu mshenzi
 
Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.

Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
nonsense 🐒
 
Kipindi anaendelea na maongezi yake mtandaoni, polisi walitoa barua kumtaka afike kituo cha polisi ili kuthibitisha asemayo..

Polepole mwenyewe nakumbuka kwenye ile video alisema ikitokea nimefika kituo cha polisi basi inakuwa nitolee, inakuwa Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... alifahamu wakimtia mikononi ni kifo kinafuatia...

Ni probability ndogo sana kama ni mzima, hata kaka yake yule anayepiga mikwara siku hizi sijui kapotelea wapi...
Inasikitisha sana!
Inasikitisha zaidi kubaini kwamba alikuwa Cuba lakini akarejea kufanya harakati zake Tanganyika.
Inafikirisha zaidi kwamba serikali haitaki kukosolewa na WaTanganyika!
Yeyote anayekosoa kwa namna yoyote anatendewa dhuluma yoyote!
 
Back
Top Bottom