Ni MBEYA TENAA

Ni MBEYA TENAA

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
Tumeshakubali hamna mpinzani tenaa, inatosha basiii
IMG_20190504_084709.jpeg
 
Haya mambo ya umiss naona kama kibongo bongo yamepungua uzito,sijui tulikoseaga wapi,sijui ni kukosa sapoti ya serikali au wadau sijui,...enzi hizo mashindano haya yalikua na hamasa na ushindani mkubwa,....umiss umeshuka thamani sana!
 
Lundenga na wale wahindi sijui walikuwa wanatumia dawa yaani mambo ya ovyo ovyo tukawa tunayapa thamani.
 
1087565
IMG_20190504_100558.jpg
mm nikionaga mambo ya umiss namkumbuka sana huyu Mzee alijikita huko na kujipa u chairman wa kudumu hakika alijua raha za hayo mambo
 
Duuh! Ila sio mbaya ikiwa mkono wao ndio umefikia hapo.
 
Hashimu mtoto wa mjini,walifanyafanya mipango mambo yakaenda.Walipovurugana kila mtu na njia yake sasa ndio mipango ifanywe sio magumashi ya shem wangu Hashimu
 
Back
Top Bottom