Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Feb 14, 2018 #1 KUNA WATU MAARUFU 5 KATIKA PICHA HII, umemtambua nani?
Nkolandoto JF-Expert Member Sep 18, 2016 3,877 3,675 Feb 14, 2018 #2 Na mnakoenda ni mbali sijui mtafika lini
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Feb 14, 2018 Thread starter #4 Elli said: Wakati tulipokua tuna akili Click to expand... umemtambua nani hapo
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Feb 14, 2018 Thread starter #5 Nkolandoto said: Na mnakoenda ni mbali sijui mtafika lini Click to expand... nadhani hujaupata muktadha wa picha
Nkolandoto said: Na mnakoenda ni mbali sijui mtafika lini Click to expand... nadhani hujaupata muktadha wa picha
Joowzey JF-Expert Member Nov 13, 2015 13,089 13,308 Feb 14, 2018 #6 Pm kushoto kabisa,na style yake ya nywele ile ile
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Feb 14, 2018 Thread starter #7 Joowzey said: Pm kushoto kabisa,na style yake ya nywele ile ile Click to expand... upo vizuri
Kinyungu JF-Expert Member Apr 6, 2008 17,369 33,015 Feb 14, 2018 #8 Said Zimbe, Thomas Kipese, Athuman Chama, Keneth Mkapa, Mtwa Kiwelu
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,323 29,584 Feb 14, 2018 #9 Kinyungu said: Said Zimbe, Thomas Kipese, Athuman Chama, Keneth Mkapa, Mtwa Kiwelu Click to expand... Kassim Majaliwa. Keneth Mkapa hayupo hapo. Huyu mwenye Umbro sio Burhani kweli??
Kinyungu said: Said Zimbe, Thomas Kipese, Athuman Chama, Keneth Mkapa, Mtwa Kiwelu Click to expand... Kassim Majaliwa. Keneth Mkapa hayupo hapo. Huyu mwenye Umbro sio Burhani kweli??
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,204 13,182 Feb 14, 2018 #12 Majaliwa, edibily Jonas lunyamila,.