Ni mauwaji ya kutisha huko Misri

Ni mauwaji ya kutisha huko Misri

Dotworld

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,035
Reaction score
3,783
Watu 42 wameuwawa na wengine 500 wamejeruhiwa huko mjini Cairo kufuatia ghasia zilizotokea nje ya kambi ya kijeshi ambapo wafuasi wa aliyekuwa raisi wa taifa hilo Mohamed Morsi waliokuwa wakipinga kuondolewa kwake madarakani.

article-2358126-1AB6D11E000005DC-338_634x405.jpg

Bodies lie on the floor at a makeshift morgue in a hospital in Cairo after clashes between the military and supporters of President Morsi left at least 42 dead​

article-2358126-1AB6526E000005DC-973_634x422.jpg


Victims: A member of the Muslim Brotherhood sits next to the bodies of supporters of ousted president Morsi who were killed during clashes early on Monday morning​
 
Watu wachache sana hao haiwezi kuwa mauaji ya kutisha
 
wacha wagongwe wewe unavamia makao makuu ya jeshi unaanza kuwarushia risasi unategemea nini?
 
Aliyeweka utawala ndo chanzo cha mambo hayo, tufute serikali tuishe kama zamani
 
madaraka yana raha yake.......hapo watazungumza.....wataelewana........watagawana madaraka.....watasahau yaliopita.......inasikitisha sana.......
 
Niliwaambia hapa majuzi inahitaji muda tu kuiona misri ikifuata nyayo za Syria,mashariki ya Kati sasa italipuka yote,na mtu anaekuja kuathirika zaidi ni babu yangu alie geita huko maana bei ya mafuta itapanda vibaya mgogoro mpya wa kiuchumi duniani unanukia,nashangaa kuna watu walikuwa wakishangilia mapinduzi ya kijeshi hapa
 
Nimeziona picha za maiti inasikitisha sana
 
Chadema mjifunze jambo,ukichukua madaraka kwa kuwagawa watu na kupandikiza chuki hutoweza kutawala,mlimsifia mosri Leo mnalipongeza jeshi kumuondoa,hakika mnaumwa aka bendera fuata upepo
 
Sasa sisi inatuhusu nini?

Japo ni taarifa lakini pia inatuhusu.
Jambo la msingi serikali yako ya kigaidi wasithubutu kuwageuza raia kitoweo.
CCM walianza kung'oa kucha na meno, baadaye tindikali, sasa ugaidi na mauaji ya raia wasio na hatia
 
Tuiombee nchi yetu yasije fka huku(kama ya Misri).kwa maana ---------Katoa amri ya kupiga(ninavyo faham mm kupiga kama kupiga,hakuchagui kitu/silaha ya kupigia).Sasa mwananchi ukiandamana ukaonekana umebeba shoka,rungu,mawe,fimbo n.k basi ww ni halali kwao.Tuombee miaka miwili ijayo ipite kwa aman.Ijapokuwa matatizo ya hapa na pale hayataisha kamwe.Ewe unaependa kuanda mana pasipo kujua unahitaji nini/unaandama ili kutaka nini(pole sana maana kipigo utakacho kipata.ndg,jamaa au marafki ndoo watakuja kukuhudumia ukiwa tayari,umevunjwa mguu,mkono au umetenguliwa kiuno,tofaut na hao watakuja viongozi kutoa pesa ya ubani),laa sivyo basi kuwa makini sana ukiwa kundini.Watz wengi wanapenda kufuata mkumbo kwenye makundi .ukitaka kufahm hilo basi kaa uswahilini I'm sure ndani ya one month utapata majibu.MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
 
Kuna jamaa walisema jeshi tz lijifunze kutoka Misri. Cjui akili zao wameazimisha watu. Yaishie hukohuko.
 
Sasa sisi inatuhusu nini?
You are always funny!! Inatuhusu nini? Huoni kama kuna jambo la kujifunza hapa? Wanaokufa ni binadamu wenzetu, lakini zaidi ya yote, ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji. With the current political situation in the country, we are very likely to be in a similar state some days ahead.
 
Back
Top Bottom