hata mimi nashangaa walivyomtoa Mubarack watu humu walikuwa wanaimba peoples power......... leo yako hivi sijuu tumebeje................sasa sijui hao peoples power walishindwa kuwa na utashi wa kujua chuya na mchele. haya ndiyo yatakayojiri kwa wenzetu wa vidole viwili nilivyoviona kule kwenye post ya Mzizi Mkavu.Niliwaambia hapa majuzi inahitaji muda tu kuiona misri ikifuata nyayo za Syria,mashariki ya Kati sasa italipuka yote,na mtu anaekuja kuathirika zaidi ni babu yangu alie geita huko maana bei ya mafuta itapanda vibaya mgogoro mpya wa kiuchumi duniani unanukia,nashangaa kuna watu walikuwa wakishangilia mapinduzi ya kijeshi hapa
Kuna jamaa walisema jeshi tz lijifunze kutoka Misri. Cjui akili zao wameazimisha watu. Yaishie hukohuko.