Ni matumaini yangu Ripoti Maalum ya Ukaguzi wa BoT atakayopewa Rais Samia Jumatano haitoogopa Kuwawajibisha walioko Madarakani sasa

Jana kasema "SERIKALI TUMECHOSHWA NA MIGOGORO YA DINI"
kauli ngumu sana mbele ya viongozi wa dini
 
Si kweli nimedokezwa kuwa kuna Watu Wawili Watatu hivi Mama ( Rais ) alikuwa anawatafutia 'timing' ya Kuwafyeka ( Kuwatumbua ) na hata 'Kuwasweka' ndani na baada ya Ripoti hii Maalum ya Ukaguzi wa BOT atakuwa ameshatiwa 'Ndimu' ya Kulitimiza hilo kwani hata Yeye walimkwaza japo anawachekea tu 'Kidiplomasia' na Wao wanajua amewasahau au anawaogopa.
Kama ni hivyo HK hawezi kubaki salama
 
naona kama kuna mtu anakwenda ziara Ufaransa halafu anakuwa hayupo, ili iwe me nilikuwa sipo muulizeni mama
 
Mapema kabisa GENTAMYCINE natoa OMBI Kwa 'Mama' tafadhali kama katika hiyo Ripoti Maalum ya Ukaguzi BOT utakayoipokea Keshokutwa ( Jumatano ) itawagusa waliopo Serikalini Kwako au uliowapa Ubunge basi usisite 'Kuwawajibisha' tafadhali kwa faida ya nchi.

Nitashangaa sana kama wanaokupa Ripoti hiyo Maalum ya Ukaguzi BOT watafichaficha Mambo Muhimu wakati ni ukweli ulio wazi tu kuwa kati ya Mwezi January 2021 hadi March 2021 kuna Mambo ya Ajabu ( Ukwapuaji na Matumizi ) mabaya ya Pesa yaliyotokea na baadhi ya 'Wapigaji' tunao japo 'Kinara' wao hayupo kawahi Kutuandalia Makazi mema tuliobaki duniani.

Kuna Watu wangu kama Watatu hivi nawashauri ikiwapendeza kuanzia leo mpaka Kesho wawahi tu 'Kujiuzuru' kwani huenda baada ya Ripoti hiyo Maalum ya Ukaguzi wa BOT atakayopewa Rais ( Mama ) Samia yatawakuta yakuwakuta labda tu wawe na Waganga wao wazuri wa Kienyeji wa Kuwaokoa.

Ninaisubiri kwa hamu Ripoti hii ya BOT.
Dotto na Bashiru
 
Hivi ni kweli watu wanaroga ili warudi makazini, kwenye masuala nyeti kama haya ni ngumu sana kurudi wajiandae kuachia ngazi hasahasa msaidizi wa Mama.
Nina imani na SSH. Yeye ni kama moto wa gesi. Unawasha kimyakimya lakini very effectively. Sio kama moto wa Mwendazake ambao naweza kuufana isha na moto wa mabua. Unawaka kwa kelele nyingi lakini "efficacy" yake iko chini sana.
 
Mapema kabisa GENTAMYCINE natoa OMBI Kwa 'Mama' tafadhali kama katika hiyo Ripoti Maalum ya Ukaguzi BOT utakayoipokea Keshokutwa ( Jumatano ) itawagusa waliopo Serikalini Kwako au uliowapa Ubunge basi usisite 'Kuwawajibisha' tafadhali kwa faida ya nchi.

Nitashangaa sana kama wanaokupa Ripoti hiyo Maalum ya Ukaguzi BOT watafichaficha Mambo Muhimu wakati ni ukweli ulio wazi tu kuwa kati ya Mwezi January 2021 hadi March 2021 kuna Mambo ya Ajabu ( Ukwapuaji na Matumizi ) mabaya ya Pesa yaliyotokea na baadhi ya 'Wapigaji' tunao japo 'Kinara' wao hayupo kawahi Kutuandalia Makazi mema tuliobaki duniani.

Kuna Watu wangu kama Watatu hivi nawashauri ikiwapendeza kuanzia leo mpaka Kesho wawahi tu 'Kujiuzuru' kwani huenda baada ya Ripoti hiyo Maalum ya Ukaguzi wa BOT atakayopewa Rais (Mama) Samia yatawakuta yakuwakuta labda tu wawe na Waganga wao wazuri wa Kienyeji wa Kuwaokoa.

Ninaisubiri kwa hamu Ripoti hii ya BOT.
Wizi na ubadhilifu wa mali ya umma sio kitu cha kukilea. wahusika kama wapo wawajibishwe
 
Mkuu Gentamycine, umeongelea jambo ambalo ni kuntu mno ambalo halipaswi kupepesewa macho wala kumung'unyiwa maneno. Kongole sana kwako.
 
" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "
 
Si kweli nimedokezwa kuwa kuna Watu Wawili Watatu hivi Mama ( Rais ) alikuwa anawatafutia 'timing' ya Kuwafyeka ( Kuwatumbua ) na hata 'Kuwasweka' ndani na baada ya Ripoti hii Maalum ya Ukaguzi wa BOT atakuwa ameshatiwa 'Ndimu' ya Kulitimiza hilo kwani hata Yeye walimkwaza japo anawachekea tu 'Kidiplomasia' na Wao wanajua amewasahau au anawaogopa.
'Kidiplomasia' 😂😂 nimependa msamiati uliotumia
 
sasa aliyekuwa waziri wa fadha si ndie no 2 serikalini? na hii wizi ulifanyika akiwa anaongoza hio wizara? sasa itakuwa maajabu kaa mama atamuondoa madarakani huyu no 2 na nina uhakika alipora hela ajabu huko
 
Back
Top Bottom