Ni matukio yaliyoniathiri kisaikolojia

Ni matukio yaliyoniathiri kisaikolojia

Umenikumbusha mbali ndugu, niseme tu kwamba; kati ya wanaume jasiri duniani, ni wale wenye uthubutu wa kufanya mapenzi na mwanamke aliye jichubua ngozi. Tuwe wakweli muone tu akiwa na nguo zake, itokee ukutane na mwanamke aliyejichubua, baadhi ya maeneo yawe na weusi wenye usugu baada ya mkorogo kukataa kutoa ushilikiano na ngozi, huwa ni majuto kwa wanaume wengi. Binafsi ilichukua mwaka kutamani mwanamke tena, picha ya niliyoyaona imenikaa kichwani zaidi ya miaka 10. Tangu kipindi hicho sitasema mwanamke huyu ni mzuri akiwa kaficha miguu yake ndani ya suruali.
Uko sahihi mkuu
 
MI Kuna tukio lilinitokea niko shule msingi

Mama alikuwa anajenga nyumba kulikuwa na shida ya maji ikabidi niwe nachoka na kubeba kichwa.
Ile njia ya kuelekea kwenye nyumba ilikuwa na mfeleji na daraja la mbao lilikuwa linacheza cheza wakati napita lile daraja la mbao lilikaa vibaya, nilianguka maji yote kwenye Ndoo nikamwaga.
Mpaka leo hii nikipita kwenye mfeleji nikikuta daraja sipiti naona bora niruke mfeleji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka miaka ya 2008 tulikua tumepanga nyumba mitaa ya ubungo, nyuma ubungo plaza kama unaelekea Perfect Vision siku hiyo nimelala usiku mara nikashtushwa na kibao cha shavu paaa, kushtuka nakuta kipazia kinapepea daaaa ikabidi niwaze kidogo huku mapigo ya moyo yanadunda kama mpira wa basketball nikawaza ikabidi nijicheke kidogo nikawa najisemea moyoni hichi kiumbe kilichofanya hili jambo kimeniogopa kama kinajiamin kingebaki hapa kione hilo balaaa lake, nikasali pale kuomba ulinzi pale nikalala bila shida yoyote hadi asubuhi
Tunapaswa kusali kwa Imani kabla ya kulala
 
MI Kuna tukio lilinitokea niko shule msingi

Mama alikuwa anajenga nyumba kulikuwa na shida ya maji ikabidi niwe nachoka na kubeba kichwa.
Ile njia ya kuelekea kwenye nyumba ilikuwa na mfeleji na daraja la mbao lilikuwa linacheza cheza wakati napita lile daraja la mbao lilikaa vibaya, nilianguka maji yote kwenye Ndoo nikamwaga.
Mpaka leo hii nikipita kwenye mfeleji nikikuta daraja sipiti naona bora niruke mfeleji.
hahahaahah
 
Mimi nilikuwa na dem wangu wa kirangi na kwichikwichi. Wa muda mrefu kama mwaka ninae, sasa ile na pampu in out in out sasa naongeza spidi napeleka iiiiiiiinnn kabisa,condom rough rider ikapasuka. Kilichonishinda mpini ulikutana na joto kule in nikachelewa sekunde kadhaa kuitoa out mb....kwasababu ya utamu wa papuchi. Nikajilazimisha kuitoa na kwenda bafuni kuoga fasta na kusafisha mtambo.

Halafu nikachukua funguo ya mlango na kumwambia dem kituo cha kwanza hospitali kupima,akagoma. Baadae akakubali.

Vipimo vilionyesha yuko Hiv postive kwake. Mimi nilikuwa niko safi.

Nilirudia kupima miezi 3 baadae hamna kitu mwenzangu anaendelea na ARV.

Baadae pamoja na status yake nilivaa kinga kama kawaida nikamgegeda fresh tu na kumpindua pindua stail zote ili atulie kisaikolojia,halafu nimeachana nae. Muda sasa niko fresh tu.
aiseee wee jamaaa dooooh una moyo wa ajabu.
 
Mimi haya matukio ya ajali yamenifanya kuchukia safari na kama si mbali nipo tayari kuprint hata kwa masaa mawili:

1. Nikiwa na miaka 8 tukienda mahali na rafiki zangu tuliomba lift ya pick up moja hivi. Kufika mlimani ikashindwa kupanda ikaanza kurudi nyuma nikaruka peke yangu kupitia bomba maana tulikuwa nyuma pamoja na mizigo lilienda kupindukia korongoni.

2. Nikiwa A-level shule moja maarufu katika misitu ya Kisarawe siku narudi shule baada ya likizo nikiwa kwenye Coaster maeneo ya Kipawa lilitokea lori lenye kontena dereva akaingia barabara kuu bila kuangalia upande tutokako. Alivyoona anaenda kusababisha ajali alifungua mlango akakimbia sisi tukalivaa kwa speed lile lori.Liliniokoa begi la nguo nililokuwa nimelipakata likanikinga kifua maana siti zilihama. Dereva alikuwa hajitambui na badala ya watu kuokoa nilishuhudia wakiiba radio na vifaa vya gari. Siku hiyo nikiwa na majeraha ya magoti na damu zikitoka nilitembea Kipawa hadi Tabata Segerea na mabegi yangu.

3. Nikiwa katika jiji moja maarufu Amerika ya Kusini kimasomo kutokana na jam niliamua kuwa natumia baiskeli kufika chuo. Siku moja nikiendesha kizembe bike yangu nilijikuta nimeingia barabarani huku taa hazijaruhusu. Nilijibamiza kwenye ubavu wa cruser moja hivi nikapita kwa juu. Bahati yangu halikunigonga kwa mbele ningekuwa vipande vipande kwenye jeneza.
doooh mkuu uliwezaje kutembea kipawa to tabata na umetoka kwenye ajali ya gari? doooh unamatukio ya kukutoa roho, Mungu mkubwa.
 
Hapana rafiki. Nilipata ushauri nasaha,yaani kwenye semina walileta familia ambayo mume ni mwathirika na mke wake alikuwa mzima hana hiv.walituambia wanavyotumia kinga.

Hii ni story ya pili. Ya kwanza nilisafiri huko kazini kwenda Iringa. Kule nikatafuta mashine ya kupima oil nikapata. Kama kawaida niko na rough rider zangu.

Yule demu wa kihehe siku ya tatu tulizoeana sana na katika maongezi nikakuta anawajua rafiki zangu wengine baada ya kumwambia nafanya kazi sehemu fulani.

Basi ni kwamba kuna jamaa kabla sijaenda Iringa tulimuuguza sana hapa Dar alikuwa ni mhasibu alikufa kwa HIV bado kijana sana.

Basi wakati na kwichikwichi in out in out yule demu akaanza story, wakati huo mpini uko iiiiinnn, akaniuliza we unafanya kazi sehemu fulani, nikamwambia ndiyo, akaniambia fulani unamjua nikamwambia ndio namfahamu, hapo alimtaja yule jamaa aliyekufa kwa HIV,halafu akaniambia palepale wakati kitu kimezama innn kwamba yule jamaa alikuwa bwana yake wa muda mrefu

Nilivyosikia hivyo tu mpini ukawa mdogo mle inn ikabidi nitoe tu out nikafadhaika sana sana wakati yeye ananisanifu amekaa tu hana habari wala wasiwasi. Nilichanganyikiwa
Baadae nikakumbuka kumbe nimevaa kinga. Basi nikajikaza nikanawa nika weka rough rider nyingine fresh halafu nikamgegeda nikaachana nae.

Wanawake sio wa kuamini hata akikuambia tukapime basi kama huniamini wewe jilinde.tu.. Mwenye Hiv hana lebo

Siku hizi nimeacha ku gegeda nje niko njia kuu

.

I

aiseee wee jamaaa dooooh una moyo wa ajabu.
 
Back
Top Bottom