Ni matokeo ya semina elekezi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni matokeo ya semina elekezi ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Jun 2, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Si mchezo, mawaziri sasa wanaonekana kwenye TVs karibu kila siku, wengine wanafoka wakitoa matamshi makali bila kuchukua hatua. Mara mia Lyatonga mrema anayewabana watendaji kwa kukata mishahara.

  Kitu gani kimewasukuma hao mawaziri, ni ombi la JK kuwa anawataka kuwaona wakijibu hoja za wasiona maendeleo. Nasubiri watashia wapi.
   
 2. m

  marijanda Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nguvu ya soda itao tuu ama itapozwa na wadanganyika watakapostukia hilo changa la macho,
  kama wako makini walipaswa kuwajibika kwa kujiuzulu wanapobaini madudu becoz yalifanyika chini yao sasa kufoka haisaiwasaidii bali inawamaliza coz watu wauliza walikuwa wapi mpaka yafike hapo anapofokea

  mambo ya wafa maji hata kama anajua atakufa lazima atahangaika tu, ndo ya mawaziri wa JK

  POLE IS TOO LATE FOR THEM
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Thanks,
  tujipe muda wa kuwapima japo wameshaonesha udhaiifu mwanzo huu.
   
 4. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Natamani kuiona Kigoma ikifanana na Dubai. Sijui ilikukuwa muda gani kuijenga Dubai lakini nadhani itachukua zaidi ya miaka 4 iliyobaki kuijenga Kigoma. Naomba mawaziri wanifahamishe mipango yao ktk kutekeleza hilo. Au ilikuwa changa la macho??
   
 5. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wengi wakimaliza uwaziri wanaweza kuanzisha band za music wakawa waghani wazuri maana haya ni kama mazoezi ya kughani
   
Loading...