Hivi ndugu yangu unauliza uadilifu wa lowasa nchi hii?politics is just a game just wait.ukawa bado wanachanga karata zao mkiingia kwenye penalt box na mamvi mmekwisha.hii ni siri nimekutobolea usimwambie mtu nisije kufukuzwa kwenye chama nikaitwa msaliti.