Ni mashirika gani husaidia NGOs Tanzania

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
250
Habari wadau,

Nimeanzisha NGO lakini tatizo ni kwamba tuna malengo makubwa lakini tunashindwa kufikia malengo.

Naomba mnisaidia kunipa orodha ya mashirika ya nje ambayo hutoa support kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,142
2,000

huwezi anzisha biashara ambayo hujui wateja wapo au hawapo au wako wapi. Hayo maswali ulitakiwa kujiuliza kabla ya kuanzisha hiyo NGO yako hewa ya mfukoni
 
uberimae fidei

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,633
2,000
Pia balozi nyingi zinatoa fund pelekeni project zenu uko.alafu NGO yenu kama ni maswala mfano.pia mashirika kama unicef.FAO.IMF wanatoa fund inategemea na project zenu zimebase kwenye nini
 
Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
250
huwezi anzisha biashara ambayo hujui wateja wapo au hawapo au wako wapi. Hayo maswali ulitakiwa kujiuliza kabla ya kuanzisha hiyo NGO yako hewa ya mfukoni
NGOs siyo biqshara kama hamwelewi vitu vingine mkae kimya,NGOs siyo kampuni
 
Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
250
Pia balozi nyingi zinatoa fund pelekeni project zenu uko.alafu NGO yenu kama ni maswala mfano.pia mashirika kama unicef.FAO.IMF wanatoa fund inategemea na project zenu zimebase kwenye nini
Dah,thanx umenisaidia sana nalifanyia kazi nitakuletea majibi
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,142
2,000
NGOs siyo biqshara kama hamwelewi vitu vingine mkae kimya,NGOs siyo kampuni
Utaanzishaje NGO wakati hujui funding utatoa wapi? Ukikuta Kuna NGO ya Dr Reginald Mengi foundation ujue anajua pesa ya hiyo NGO atatoa wapi.Kanisa katoliki ni NGO ila ina miradi kibao ya kuendesha shughuli zake za Ki NGO Kama hospital ,shule,mashamba,vyuo vya ufundi,vyuo vya fani mbalimbali,viwanda kibao nk.Kama hujui uta fund vipi NGO yako usianzishe.NGO sio sehemu ya kutapelia .Mi NGO yote credible huwa na credible source of funding ambazo ni sustainable Kama miradi hata ya kufuga kuku nk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom