Ni marufuku Mwanaume kulialia humu

Ni marufuku Mwanaume kulialia humu

Mwanaume kulialia ni kashfa...hata kuja tu kujieleza humuuu kwa maelezo marefu ni dalili mbaya sana

mwanaume tunapaswa kuyamiliki mambo yetu sio kuhorojoa tu
Hivi sio wewe juzi umekuja kutulilia humu kuhusu ndoa yako? Kweli usitukane mamba kabla haujavuka mto[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom