Ni mambo gani yanayotakiwa katika kuanzisha kipindi cha TV ( TV Show ) Chenye mafanikio ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,629
34,172
Habarini wadau,

Ningependa kufahamu ni kwa namna gani na mambo gani yanatakiwa ili kuanzisha kipindi cha TV na mambo gani muhimu yanayoweza kufanya kikafanikiwa ?

- Je, kibongo bongo gharama zake kwenye TV Zinaweza kuwa kiasi gani ?

Cc @Pascal mayalla
 
Back
Top Bottom