Ni hatua gani za kuchukua ukiwa na wazo la kipindi cha Television

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,103
1,382
Habarini wakuu

Na poleni na kazi

Ninaswali au hoja pia nahitaji kujua

Nini mtu anaweza kufanya kama anawazo la kipindi cha tv kinachohusiana na burudani

Naomba mwongozo hatua za kuchukua kuanzisha kipindi kwenye Tv yoyote hapa bongo
1. Hatua za kufata
2. Gharama
3. Channel gani ni rahisi kupata support

Kipindi kinahusisha watu maarufu na wale ambao sio maarufu

Natanguliza shukrani
 
Nenda kwa mkurugenzi wa vipindi wa TV station unayoikusudia kufanya nayo kazi,muelezee wazo lako, kama sera zao zinaruhusu kupokea vipindi vilivyozalishwa nje atakuambia umpelekee sample, akiwa interested nayo utapewa mkataba.(I hope jibu hili litakusaidia,ukifanikiwa toa mrejesho hapahapa kwenye uzi wako).
 
Nenda kwa mkurugenzi wa vipindi wa TV station unayoikusudia kufanya nayo kazi,muelezee wazo lako,kama sera zao zinaruhusu kupokea vipindi vilivyozalishwa nje atakuambia umpelekee sample,akiwa interested nayo utapewa mkataba.(I hope jibu hili litakusaidia,ukifanikiwa toa mrejesho hapahapa kwenye uzi wako).
Asante nafanyia kazi
 
Back
Top Bottom