Ni mahali gani Dar pa kufungua zahanati ?

Nikiangalia maeneo ya Kongowe - Tuangoma -Kibada ukiunganisha na maeneo ya Mkuranga hayo yanauhitaji mkubwa wa Huduma za afya.
 
Nina kaka yangu anatafuta mahali ambapo anaweza kufungua zahanati binafsi huko Dar -es salaam ambapo pana uhitajiwa wa huduma hiyo ? Anataka kujua ili atoe huduma hiyo nisaidieni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahali popote jijini ni pazuri kutokana na watu kuwa wengi. Muhimu ni kibali cha ujenzi kutoka mipango miji ya eneo husika kabla ya ujenzi
 
Kibada mkuu,.. Kuna zahanati moja ya serikali na private iyo ya serikali inajaa vibaya,.. Iyo private inagharama sana ni ya Madon tu, kwa iyo ukifungua ambayo inagharama ya kiasi utapiga hela mpaka utashangaa
Kibada-toangoma iyo barabara
 
Kila mahali penye mkusanyiko wa watu panafaa sana tafuta mahali penye watu wengi
 
Kibada mkuu,.. Kuna zahanati moja ya serikali na private iyo ya serikali inajaa vibaya,.. Iyo private inagharama sana ni ya Madon tu, kwa iyo ukifungua ambayo inagharama ya kiasi utapiga hela mpaka utashangaa
Kibada-toangoma iyo barabara
Kuna zahanati ya private pale Tuangoma ipo barabarani ndo hiyo unasema ina bei kubwa ? Au kuna nyinginee ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gongo la mboto-maeneo ya moshi bar.
Maeneo ya relini
Kule zipo nyingi sana .

Hapo Moshi Bar kwenye ile kona kama unaenda Masaka Primary School kuna zahanati,

Halafu mbele kidogo kama unaenda kwa diwani pia kuna zahanati

Pia kama unaenda kwa mkolemba kwa mbele pia kuna zahanati.

Pia hapo relini mbele kidogo kama unaenda kwa temba kuna zahanati .

Msalaba mwekundu pia napo kuna zahanati .

Kwa hiyo ushauri wako naona si sahihi labda umtajie sehemu nyingine kuliko hizo ulizozitaja.
 
Kwa wadau waishio wilaya ya Temeke nawaomba mnitajie ni wapi pa kufungua zahanati binafsi penye uhitaji huo !!
 
Ingawa umetaja wilaya ya Temeke, lakini kama vipi ungeangalia kule Pugu karibu na inapoishia treni, Bangulo. Sidhani kama kuna Zahanati kule.
 
Back
Top Bottom