Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Mmeshaanza mambo yenu na nyie sasa..khaaaKutengana siyo historia nzuri, kama katika ukoo wako mama yako au bibi walitengani, jua fika mbeleni yatatokea kwa binti yako! Dawa ni kuomba huo mkosi kizungu tunasema’Curse’ ivunjwe kwa sala maalum bila malipo wala mchango(free of charge)ukihitaji ushauri sema.
Hongera mama mkwe. Posa inaruhusiwa?Salamu sana,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Kwanza kabisa napenda kumshukuru sana Mungu Kwa ajili ya binti yangu ambaye amehitimu chuo. Alisoma shahada yake Chuo Cha Usafirishaji Ubungo.
Lengo kubwa la Uzi huu ni kutoa neno la shukrani Kwa wale wote walionitia moyo hasa wakati ule alipokosa mkopo. Namshukuru sana Katibu Mkuu wizara ya elimu ambaye niliingia ofisini kwake nikajieleza na akanishauri, hata hivyo mwaka wa pili alifanikiwa kupata mkopo.
Wapendwa, kwa mapenzi mema kabisa nawakaribisha kwenye mahafali hayo 13/1/2018. Njoo hata tupate soda tu. Endapo utajaliwa kuja niambie ili nikupe simu namba.
Mtakaopenda kutununulia soda pia karibuni.
Ni mbali sana Mungu ametutoa. Nina ushuhuda wa kipekee kwani huyu binti akiwa nursery school ndipo tulipotengana na baba yake ila Mungu hakututupa. Kila hatua amekuwa nasi.
Karibuni.
Mkinitukana nitalia.
Mmmmh mama kama nakuona hiviii, huyu kasema mahari umeitikia chapchap lkn Mimi nimeyekwambia Niko mweuPE, sina pesa wala ajira ila nahtaj mwanao HUJANIJIBU ATA !, LOL kwel mkono mtupu haulambwi na PESA NDO karibu @ KITU.Haya mama.UsjarUmtafute mwenyewe sasa,
PM nikija ni kufuata hela ya soda tu,
Jiamini tu mwanangu, mbona uko vizuri tu;Mmmmh mama kama nakuona hiviii, huyu kasema mahari umeitikia chapchap lkn Mimi nimeyekwambia Niko mweuPE, sina pesa wala ajira ila nahtaj mwanao HUJANIJIBU ATA !, LOL kwel mkono mtupu haulambwi na PESA NDO karibu @ KITU.Haya mama.Usjar
Amuepushe na wadungaji piahongera sana kwa kufanikisha hitaji la msingi la binti yetu Mnyazi Mungu amuepushe na mafataki
Nilitaka kukutumia pm tuyajenge. Bora nimwoe mwanao gu ka ndo ivo, make akiolewa na shalobalo asala kwa nani bi Chau!?Huyu ni mtoto wangu wa nne, yaani last born;
Halafu KakaJambazi, hivi upo?
Hamna mtu aliyegusia suala la ajira wengi ni pongezi na marriage tuu. Kweli vyuma....
Ingawa bado kuna mtihani wa kumtafutia kibarua!!!!Wooww jamaniii,.hongera mamii,hongera nyingi pia kwa binti,amekurudishia zawadi kubwa na nzuri,.amekupa faraja mnoo...niwatakie heri na furaha katika kusheherekea mahafali yake.
Watu wanaogopa gharama kumbuka! Akiwa na kazi ndipo watajimwagaHahaaa hapana mkuu najua umezaliwa ila hapo naona unataka kukamatia fursaaaa[emoji3] [emoji3]
hongera Mamndenyi naomba kazi kijana kutoka Photo_ studio_mabibo_hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos aje amfanyie ma photoshoot yale ya studio.. awake wake na joho lake siku yake hiyo
Hhhhhhhh Mafisi wa mjini,,Hako kabinti katukua size yangu kabisa.....na mimi nimemaliza chuo mwaka jana ujue
Mzee mwenzanguHuyu ni mtoto wangu wa nne, yaani last born;
Halafu KakaJambazi, hivi upo?