Napenda unavyocheka.Heheheee
Napenda unavyocheka.
Hivi wewe ni binti/mwanamke/ bibi!
Maana kwa maneno yako haya unaonekana wewe ni mtamu sana.
I wish I could be......
Holla.... I just fall in love with this man, a father... I feel the hug he gave to his daughter.
Kasie mahaba.
Wewe unamchukuliaje baba yako.....yaani umemn'agata mara ngapi mpaka hivi sasa?
No matter what...utamu upo tu hata wa kukombeleza!Asantee, Kasie ni kibibi kizee.
Tafsiri yako imekudanganya tangu lini kizee kikawa na sukari gulu au asali?
You wish you could be........
My everything, my sweetheart etc.Ooh kumbe... mie sikuwa najua kuwa utamu bado upo basi nashukuru kunitaarifu.
Can you fill the dots please?
Sijajua kama Mimi ni mgeni ila huenda labda wote Mimi na wewe tu wageni humu ndani!Wewe ni mgeni humu? Sweetheart na everything wa Kasie anakusoma tuu unavotuma proposal yako maana yuko humu.
Take care kabla hajakwambia watch out.. ..
Sijajua kama Mimi ni mgeni ila huenda labda wote Mimi na wewe tu wageni humu ndani!
Itabidi awe mpole tu maana hakuna namna..
HahahahahhHehehehehee aiseeh.... unajitahidii.
Ingekuwa vyema zaidi ungekuja na kitambulisho chako cha zamani. Hiki kipya hakinipi ashiki mie ashiki zangu zote sasa hivi ziko kwa huyo baba mwenye binti yake. I love him for real.