Ni Mahaba tuu .....

Ni Mahaba tuu .....

Jf skuhz kuna uchochezi wa kingona pamoja na kuongezeka kwa hamasa kwa wana CHAPUTA. unaweza uwe umetulia zako hufikirii lolote ukiingia tuu JF taratbu unatafta sabuni ilipo, inaanza ile kaz ya kumleta Rihanna bongo, den kitandan kwako
 
Napenda unavyocheka.
Hivi wewe ni binti/mwanamke/ bibi!

Maana kwa maneno yako haya unaonekana wewe ni mtamu sana.

I wish I could be......

Asantee, Kasie ni kibibi kizee.
Tafsiri yako imekudanganya tangu lini kizee kikawa na sukari gulu au asali?

You wish you could be........
 
Mahaba niuwee
Mahaba ninogeshe nipate kumbato la huyo dadii maana kila nikimtizama najiweka nafasi ya huyo binti yake. The man is cute to me I can't stop and I don't get enough looking at him.....
 
Holla.... I just fall in love with this man, a father... I feel the hug he gave to his daughter.

Kasie mahaba.

Wewe unamchukuliaje baba yako.....yaani umemn'agata mara ngapi mpaka hivi sasa?
 
Wewe unamchukuliaje baba yako.....yaani umemn'agata mara ngapi mpaka hivi sasa?

Baba 6angu ni baba yangu huwa simchukulii vyovyote vile. Ni baba.

Sijaelewa swali lako la pili? Umemaanisha nini uliposema nimemng'ata mara ngapi hadi hivi sasa...!!??? Sijaelewa.....
 
Asantee, Kasie ni kibibi kizee.
Tafsiri yako imekudanganya tangu lini kizee kikawa na sukari gulu au asali?

You wish you could be........
No matter what...utamu upo tu hata wa kukombeleza!

Could you be my......?
 
No matter what...utamu upo tu hata wa kukombeleza!

Could you be my......?

Ooh kumbe... mie sikuwa najua kuwa utamu bado upo basi nashukuru kunitaarifu.

Can you fill the dots please?
 
My everything, my sweetheart etc.
Wewe ni mgeni humu? Sweetheart na everything wa Kasie anakusoma tuu unavotuma proposal yako maana yuko humu.

Take care kabla hajakwambia watch out.. ..
 
Wewe ni mgeni humu? Sweetheart na everything wa Kasie anakusoma tuu unavotuma proposal yako maana yuko humu.

Take care kabla hajakwambia watch out.. ..
Sijajua kama Mimi ni mgeni ila huenda labda wote Mimi na wewe tu wageni humu ndani!

Itabidi awe mpole tu maana hakuna namna..
 
Sijajua kama Mimi ni mgeni ila huenda labda wote Mimi na wewe tu wageni humu ndani!

Itabidi awe mpole tu maana hakuna namna..

Hehehehehee aiseeh.... unajitahidii.
Ingekuwa vyema zaidi ungekuja na kitambulisho chako cha zamani. Hiki kipya hakinipi ashiki mie ashiki zangu zote sasa hivi ziko kwa huyo baba mwenye binti yake. I love him for real.
 
Hahahahahh

Haya kasie bibi!

I do appreciate you!
 
Back
Top Bottom