Suleiman755
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 274
- 209
Mh na kapicha basi usisahau kukaposti ili tupate kuelewaNi dhahiri ugumu wa maisha umeongeza ubunifu na kimfaacho mtu ni chake!
Nimeshuhudia wadada fulani waajiriwa kabisa japo sisemi ni serikalini ama binafsi ila ni hii fani ya wal...u wakijiuza kwenye kwa madereva malori wa mchanga kisa ni vijisenti wanavyohongwa!
Wengi wao wana ndoa zao kabisa sasa najiuliza je hawa na wale wanaojianika usiku nani malaya na nani changudoa tofauti yao ni nn?
Na ninashangaa jinsi watu walivyo na ustarrabu wa mshoni(wa mavazi) lakini ukiyajua matendo yao utashangaa. Hi dunia ina mambo!
Sent using Jamii Forums mobile app
mganga Mungu anakuonaNi wajasiriamali kuliko kioze si afadhali wakigawe kwa bei ya punguzo?
Jr[emoji769]
Wewe Mungu hakuoni?[emoji23]
[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
ananiona lkn kwa jicho la tofauti, sio sawa ma amwangaliavyo mchawi akitetea ile mambo[emoji23]Wewe Mungu hakuoni?[emoji23]
Mkuu bora wale waliosingle ila wenye ndia nao wapo mbele mno,Ni wajasiriamali kuliko kioze si afadhali wakigawe kwa bei ya punguzo?
Jr[emoji769]