Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Allahu -YesallimKum wa YeHfadhakum kweli udugu kuulizana ! Bado mapishi/maakulati yaendelea?
Acha tu mkuu nimefurahi sana kuona uwepo wako, kubwa zaidi ni kuMshukuru anayetupa huu uhai na kusababisha kuonana tena kupitia nyumba hii.BySange aisaee nimekumiss kweli, hapa kwema na raha-raha za uhai !!! siwaona nishakaribia....! Za masiku mkuu?
Ulikua wapi habiby?......
Mhhhh koh koh koh
Ndio lunch ya Asprin au?
Nduguyangu Mpendwa nilikuwa maeneo adimu wamtandao (non-accessabo intaneti) !! Lakini nashukuru nyie mpo mnakamilisha wajib !!
Shukrani na sifa zote zinatangulia kwa Muumba wetu, na wajaa wema kama nyie mupate himaya na kheri zake Allah subhana awaTa3alaa... AMIN tupo pamoja Mkuu Byange ubarikiwe.Acha tu mkuu nimefurahi sana kuona uwepo wako, kubwa zaidi ni kuMshukuru anayetupa huu uhai na kusababisha kuonana tena kupitia nyumba hii.