Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 337
- 1,945
Hivi mnajua Zanzibar afya ni bure? Lakini bara mtu akifa muhimbili maiti yake Kama inadaiwa inakamatwa?
Hivi mnajua Zanzibar chuo kikuu hakuna watu wanakosa mkopo?
Hivi mnajua Mzanzibar anaweza kuja Tanganyika mpaka kigoma kule akapata ardhi na kujenga na kununua mashamba ya kilimo? Lakini mtanganyika hawezi kumiliki hata square mita moja Zanzibar?
Hivi unajua sasahivi wazanzibar wanaajiriwa bila masharti yeyote uku bara mpaka kwenye maswala ambayo sio ya kimuungano Kama manesi, Walimu, madakitari na watumishi wa halimashauri??
Hivi mnajuwa Zanzibar inakopa lakini Tanzania ikikopa pesa zinagawanywa zinaenda Zanzibar?
Hivi mnajuwa mtanganyika hawezi kufanya kazi serikali ya Zanzibar?
Wakati Mzanzibar anafanya kazi mpaka JKU, KMKM, Police TANZANIA, JWTZ, Uhamiaji, Zomamoto, Tiss uko ndio sasahivi wamefanya Shamba la Bibi?
Hivi mnajuwa Watanzania wakienda Zanzibar wanakuwa wapagazi, Manamba na watumikishwa Kama warundi ambavyo uwa wanakuja kutumikishwa TANZANIA?
Watanganyika ni lini tutaamka na kufanya reform za kueleweka na kuwa na muungano wa nchi tatu?
Ni lini tutazuia kutawaliwa na mtu kutoka nchi nyingine ambayo sisi hatuwezi kuitawala?
Ni lini watanganyika tutadai haki ya kuwa Marais wa Zanzibar?
Watanganyika acheni ujinga amkeni mnazamishwa miaka ijayo tutakuwa vijakazi vya wazanzibar uku Tanganyika.