Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

Secretariate haipokei barua ya utambulisho kutoka polisi inayohusu kupoteza, kuungua, kuibiwa, utofauti wa majina kati ya cheti kimoja na kingine kutokana na baadhi yao kuzitumia vibaya.

Toa taarifa Polisi then nenda Chuoni watakupa utaratibu ikiwemo kutangaza kwenye Gazeti

Cha Muhimu toa taarifa kwa kwenda in-Person (mguu kwa mguu) Secretariate ya Ajira. Nje ya hapo there is no way ya kufanya interview utabaki home kupiga show ya kibabe


Duh... Mbona mtihani sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom