Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

Dah wakuu haka kausaili ndo hakapo nini vidole vinataka kuota sugu tunachungulia web ya utumishi kila dk
 
Hatari ya danger kwa sababu kila mtu ana fiti TRA kasoro ma engineer na afya ndo maana wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna zikitangazwa kwingine kwa nafasi hizohizo hakui na nyomi ya TRA, halafu mishahra Yao ya kawaida tu tatzo rushwa, wizi na ufisadi ndo unaowavuta watu huku Kuna pesa nyingi za pembeni huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom