King More
Senior Member
- Feb 1, 2016
- 102
- 54
Wapendwa napenda kumjua ni lini applications za open university kwa mwaka wa masomo 2019 kwa graduate zitaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa sana Mwanangu. Sasa nashindwa kujua niingilie wap kwenye ku apply. Kama unajua zaid help me pleaseOpen University una apply mda wowote, ukisoma prospectus yao wanasema kwa mwaka wana intake nne 4.
As we speak, application tab iko active.
Kwanza uwe na heshima, kwa mtazamo umri wako ni mdogo sana, mimi naelekea makamo sasa.Poa sana Mwanangu. Sasa nashindwa kujua niingilie wap kwenye ku apply. Kama unajua zaid help me please
nenda tawi lolote lililo karibu nawe utachukua fomu na kuzijaza kama huwez kusachi mtandaoPoa sana Mwanangu. Sasa nashindwa kujua niingilie wap kwenye ku apply. Kama unajua zaid help me please
Kwa mkoa wa morogoro matawi ya open university yako maeneo gani. Help me pleasenenda tawi lolote lililo karibu nawe utachukua fomu na kuzijaza kama huwez kusachi mtandao
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ulifanikiwa kupata chuo open?Nataka niombe hapo Chuo kwa kozi ya Masters of Science in Humanitarian Action, Cooperation and Development (Msc HACD) kwa ambaye anaijua hii kozi anaweza kunidadavulia inadeal haswa na vitu gani? Nimejaribu kugoogle naona inahusika sana na mashirika ya misaada na mambo ya usuluhishi inamaana kwenye project za kawaida katika organizations au taasisi za serikali haiwezi kua applicable?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namshukuru Mungu nilifanikiwa ku apply na tayari nimechaguliwa